Daktari wa Magufuli akiwa Kiongozi na uhusika wake katika afya ya Rais

Daktari wa Magufuli akiwa Kiongozi na uhusika wake katika afya ya Rais

KIWINGU CHA WATU MAALUM KINACHO MWANGALIA RAIS MUDA WOTE


View: https://m.youtube.com/watch?v=ylNGFClrGfQ
Mstaafu ambaye anaufahamu wa kina jinsi rais wa nchi yoyote anavyotizamwa kwa karibu kuanzia afya, mlo, ziara, matembezi, watu aliowazoea n.k yafafanuliwa na mwana usalama mstaafu James Khatwenge


Ubishi wa mwendazake kukataa kufuata kiwingu cha watu maalum kinachomuangalia rais muda wote kuhusu usalama wa afya yake n.k n.k
 
Hivi Magufuli was immortal? hakupaswa kufa? baada ya kuwa amezaliwa alipaswa kuishi umri gani hapa duniani ndo afe???shiiish
hakutakiwa kufa yeye Mungu ndio alitakiwa amshukuru JPM kwa kufanya kazi vizuri na JPM ndo apange lini ana exit hii dunia
 
Magufuli alikuwa na hitilafu ya kwenye moyo wakamwekea kifaa kinachoitwa pacemaker. Wengi ya wagonjwa wenye hiyo hali wanaishi maisha ya kawaida na huwa hakuna tatizo. Tatizo lilikuja pale alipopata covid. Covid ni hatari sana ikimpata mtu ambaye ana condition ya moyo kama hiyo hasa kama hajachanjwa. Hivyo basi unaweza kusema kuwa alifariki kwa sababu ya covid.
Kumbe alipata UVIKO !
Yule jamaa alikuwa haamini habari za COVID 19.
 
Back
Top Bottom