Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

Naomba no yake
 
Achepuke tu ila awahi kurudi nyumbani

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu GENTAMYCINE umefunga Inbox yako?
Una uhakika? Mbona Uongozi wa JamiiForums ulinipata huko huko na kunipa Taarifa Muhimu ya Kupokea Zawadi yangu ya Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums mwaka 2022? Wao wameingiaje huko na Kunipata na Wewe ushindwe?

Asante kwa Kunifolo nimeona na Kuniongezea idadi na Utajiri wa Followers hapa JamiiForums.
 
Iyo ni uongo!labda utafiti kafanya kwamkewe Tena uyomke nimsabato
Hatujui wanawake uyo,mwanamke anajichekesha anapohisi au kuona pesa tu,iwe mume au hawara nipesa tu ndo inatutoa akili nakuanza kuongea mambo yakitoto tofauti na apo bigNO
Mnaogongewa Wake zenu mna Hasira kweli kweli na hii Mada inawachomeni mno. Poleni.
 
Mnaogongewa Wake zenu mna Hasira kweli kweli na hii Mada inawachomeni mno. Poleni.
 
Usisumbuliwe na SHETANI
 
Yaani ni ukweli mtupu jamani sijui leo ni siku ya ngapi baada ya kuweka mtego wa kuinasa namba iliyokuwa ikimnyima raha ikipigwa kwenye simu yake akiwa na mimi wiki tatu zilizopita.

Kabla ya hapo wiki bili nyuma mpaka sasa amekuwa akiongea vitu mpaka najiuliza kwanini mbona kama anarudia utoto? Na nmekuwa nikimkrash kumbe ni kawaida?
 
Yess
DO NOT BELIEVE ANY WOMAN ESPECIALLY NAKED
kaa nayo hiyo mkuu!
 
Iyo ni uongo!labda utafiti kafanya kwamkewe Tena uyomke nimsabato
Hatujui wanawake uyo,mwanamke anajichekesha anapohisi au kuona pesa tu,iwe mume au hawara nipesa tu ndo inatutoa akili nakuanza kuongea mambo yakitoto tofauti na apo bigNO
Unatumia nguvu kubwa sana kujitetea kulikoni?
 
Pole sana mkuu ,
Yashanikuta mwezi uliopita .
Hakuwa na Cha kuzungumza kenge yule.
Alikuwa anajifanya malaika ,nikawa na mchora tu.
Mapenzi yataka moyo.
 
Pole sana mkuu ,
Yashanikuta mwezi uliopita .
Hakuwa na Cha kuzungumza kenge yule.
Alikuwa anajifanya malaika ,nikawa na mchora tu.
Mapenzi yataka moyo.
Asante sana,,sasa mtu anamuita ndugu yake lakini namba yake hajaisave kwenye simu na kilichonifanya nione kama huy jamaa ni mchepuko wake ni pale akiwa na mimi simu ya huyo mwanaume hapokei na wakati mwingine anasema ni mtandao ndyo wanampigia kwahyo anakata.

Lakini cha kushangaza nilipoichungulia simu ya huyu mke nakuta mtu mwenye namba hyo hyo huwa kuna nyakati anampigia na wanaongea mpka nusu saa kila mara. Nipo kwenye nyakati ambazo ni ngum mno,yaani unafkiria unamuacha halafu mtoto atakuwa kweny mazingira gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…