Daladala za Mbezi kupitia Manzese, Fire hadi Mnazi Mmoja zimeanza kazi rasmi

Ngoja nimshtue bwashee....hii ruti ina hela
 
Kama mimi ningeruhusu zipite kwenye barabara za mwendokasi zote
Si sahihi kuruhusu daladala zitumie njia ya mwendokasi na huku mwendokasi zikiwa zinaoperate si salama kwa abiria.

Vituo vya mwendokasi vyote vingekuwa vimejengwa kama kile cha upande wa Kimara-Mbezi & Kibaha ni sawa kimejengwa katika mfumo ambao hata daladala inaweza kubeba abiria kwa usalama hakipo juu juu kama vingine
 
Sisi tunachoweza ni wizi tu.

Aibu kubwa sana hii. Hakuna tunachoweza. Kusifiana kwa udini au ya ukabila au ya wapi unatoka katika Tanzania, ndio agenda ya sasa. Performance zero.
Sisi wengine tunaomba Mungu atupe hekima tusimbague mtu. Tuishi na kufa kama watanzania
 
Muundo wenye wa mabasi hayo hayapo salama na imechukuwa nafasi tu
Kama kuna mabasi mengi hata mara 4 ya hayo yaliopo basi changamoto hizo zingeisha kabisa
Watu ni wengi sana na huduma ni ndogo
 
Hapa umemaliza mkuu... ..
 
Wala msimsingizie mama wa watu, nchi hii hata Nyerere ilimshinda aka-amua kutanduka daluga, wakaja wakina Mwinyi yaleyale - Mkapa akajitahidi kuweka mifumo kwa mbinde kabisa-Kikwete ufisadi ukapamba moto - Magufuli alijaribu kapigwa vita mpaka kajifia..mnataka mama wa watu awape maajaby gani?Huwezi kuendesha nchi asilimia kubwa ya watu wanapiga maneni, ujanjaujanja
 
Chawa serikalini utaskia wakisema "Rais Samia AMEFANYA MAKUBWA" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…