CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Kupishwa siti kwenye daladala na mtu ambaye ukimuangalia tu,unaona umemzidi umri.Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
Tangu wale wasichana waniamkie pale Tanesco nilijua nishazeeka!Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
Kuna siku nimekaa sehemu nasikia Zuchu this Zuchu tha! Nauliza Zuchu ni mchezaji wa simba au yanga!Mimi nilipoona sijui wimbo mpya umeimbwa na Nani ndo nikajua nishakuwa mtu mzima..
Enzi za ujana nilikuwa top ten zote nazijua
Kuanzia billboards top ten hadi local radio
Duh!Mie kuna siku mwendokasi inaanza nikapanda kuona likoje. Nimeingia nimekosa siti kuna mtu mzima akanipisha akaniambia kaa mzee. Nilijitathmini njia nzima na ndio ilikuwa mwisho wa kupanda mwendokasi
Kuna siku nimekaa sehemu nasikia Zuchu this Zuchu tha! Nauliza Zuchu ni mchezaji wa simba au yanga!
When the candles in a birthday cake start to cost much than the cake itself.Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
Hahahaha ila.mzee wangu nimecheka sana hahahamie sio mzee umri wangu ni rika la Mshana Jr
Ghafla najikuta napenda kusikiliza nyimbo za Congo kizazi cha wakina Franco, Nyboma, Madilu na wenzao.Mimi nilipoona sijui wimbo mpya umeimbwa na Nani ndo nikajua nishakuwa mtu mzima..
Enzi za ujana nilikuwa top ten zote nazijua
Kuanzia billboards top ten hadi local radio
Wee mzee kwani upendi kusalimiwa?Tangu wale wasichana waniamkie pale Tanesco nilijua nishazeeka!
Ukiona mtoto/watoto wako wankua...Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
HaaaaahaaMie kuna siku mwendokasi inaanza nikapanda kuona likoje. Nimeingia nimekosa siti kuna mtu mzima akanipisha akaniambia kaa mzee. Nilijitathmini njia nzima na ndio ilikuwa mwisho wa kupanda mwendokasi
Asee hii mimi ilikuwa inanichanganya sana , shkamoo za kutosha , mwanzo nilikuwa nashangaa Ila baadaye imenibidi tu nikubali matokeoUnapoanza kupokea shikamooo hata za watu usiowajua au wasiokujua just ndo Basi tena
Kuanza kwenda misa ya kwanzaKuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.