OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hahahaha hii kweli kabisa.Ukiona unapewa shikamoo nyingi kuliko shikamoo unazotoa wewe kwa siku ujue umri umeenda sana
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hii kweli kabisa.Ukiona unapewa shikamoo nyingi kuliko shikamoo unazotoa wewe kwa siku ujue umri umeenda sana
Hii namba 10 [emoji23][emoji23][emoji23]
- Unapoenda haja ndogo huku ukiamini kua umefungua zipu na kumbe hujaifungua,
- Unapoanza kuisahau njia ya kurudi nyumbani,
- Unapoanza kuwachanganya watoto wako kwa sura zao na majina yao.
- Unapoanza kula vidonge kama chakula chako badala ya chakula,
- Unapokua na appointment za Hospitali kila mara,
- Unapoanza kulala mapema na kuamka mapema,
- Unapoanza kuutambua umuhimu wa majirani zako,
- Unapoanza kuwakumbuka rafiki zako wa zamani na kuwathamini zaidi,
- Unapoanza kuachiwa Nyumba na watoto ili ukae nao pindi wahusika wanapotoka out,
- Unapoanza kuachiwa funguo na majirani.....
Ukiona hayo ujue upo maji ya jioni jioni,kwa waogeleaji watakuwa wamenielewaKuna siku nimekaa sehemu nasikia Zuchu this Zuchu tha! Nauliza Zuchu ni mchezaji wa simba au yanga!
Hakika na ndo maana kule tunajadili magari na engines zake na si kuhusu mitindo ya nguo na nyweleInaonekana ujana una bandwidth ndogo sana na haudumu, katika life span ya mwanadamu
😂😂😂😂Mie kuna siku mwendokasi inaanza nikapanda kuona likoje. Nimeingia nimekosa siti kuna mtu mzima akanipisha akaniambia kaa mzee. Nilijitathmini njia nzima na ndio ilikuwa mwisho wa kupanda mwendokasi
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28][emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28][emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28]Mie kuna siku mwendokasi inaanza nikapanda kuona likoje. Nimeingia nimekosa siti kuna mtu mzima akanipisha akaniambia kaa mzee. Nilijitathmini njia nzima na ndio ilikuwa mwisho wa kupanda mwendokasi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Siku nilipoambiwa na kulazimishwa kuongoza kikao cha ukoo kama mwenyekiti, asee nikajua nishajumuishwa kwenye orodha ya wazee wa ukoo. Tangu Siku nikaacha kuvaa pensi kwenye mitoko yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku nilipoambiwa na kulazimishwa kuongoza kikao cha ukoo kama mwenyekiti, asee nikajua sasa nishajumuishwa kwenye orodha ya wazee wa ukoo. Tangu Siku hiyo nikaacha kuvaa pensi kwenye mitoko yangu.
mzee wangu ni mtu wa mambo hizi matukio ya miaka ya 70's anayo kwa notebookunapokuwa na ka notebook kwa ajili ya kumbukumbu
Aisee ..mbona huyu ni mimi kabisa😀1) Kuanza kujali ratiba zako na muda wako.......
2) Kujiepusha na maugomvi na malumbano yasiyo na msingi......
3) Utaanza kuona thamani na maana na umuhimu wa kuoa au kuwa na familia......
4) Kuwa makini na aina ya mavazi na kauli zako.......
5) Afya yako ya mwili na akili inakuwa kipaumbele chako baada ya fedha na mali......
6) Kuanza kuletewa kesi nyingi za kifamilia kwa ajili ya usuluhishi......
7) Kukumbuka mambo ya zamani mara kwa mara........
8) Kuanza kuwa makini na matumizi yako ya fedha na kuwa mkali kwenye matumizi mabovu ya fedha.....
NB;
Hii ni kwa wale wanaojua kuwa wakati ni ukuta.......na kuishi kulingana na nyakati......
Mi pia ninazombili za mambo ya kawaida na mambo ya muhimmzee wangu ni mtu wa mambo hizi matukio ya miaka ya 70's anayo kwa notebook
tukio la jana simba kuifunga al ahly leo asubuhi nimepita kumsalimiaia namkuta analiandika pia.
hahahaa jamaa fala sana weweHii namba 10 [emoji23][emoji23][emoji23]
hahahaa nimecheka hadi vimachozi vimetokaSiku nilipoambiwa na kulazimishwa kuongoza kikao cha ukoo kama mwenyekiti, asee nikajua sasa nishajumuishwa kwenye orodha ya wazee wa ukoo. Tangu Siku hiyo nikaacha kuvaa pensi kwenye mitoko yangu.
Hahaha ili ni pozi langu pendwa na hua natembea mkono mmoja mfukoni,but I'm 28Ukiona umeanza kuongea na watu halafu mikono umeikunja kifuani jua tayari umri umekimbia