Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Mshamba ni nani?Inamaana huoni ushamba wa Mukandala? unafikiri kufika chuo kikuu na kuwa na pesa kunaondoa ushamba? Hujawahi ona maprofesa na matajiri washamba?
yupo wapi?
anafanya ninini?
sifa za mtu mshamba ukiacha kuongea kilugha chake ni zipi?
ushamba wa mtu hupimwaje?
jenga hoja kwa kujibu hayo maswali ili tuelewe
kuishi maisha ya kwenye movies ili kuonekana wa mjini nao siyo ushamba?