Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kiukweli mimi ni bonge la mshamba, and I am proud of it
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli mimi ni bonge la mshamba, and I am proud of it
Asee chalyangu mi si msukuma😆😆😆
Unaongeaga kimasai kwenye busUwiii nimecheka 😀 Mimi ni bonge la mshamba kwa kweli.
Wewe nilikuona Copen unapiga kilugha na home boy wakoAsee chalyangu mi si msukuma😆😆😆
Bado huelewi unachokiongea nduguSiyo mshamba, ni dalili moja kubwa kuwa ni mshamba.
We Bwana swala la ushamba na mtu kujua kilugha haina uhusiano mbona kuna watu hawajui vilugha vyao na wamezaliwa mjini bado washamba tu!Lazima atakuwa mshamba tu kwenye mambo mengi ni tofauti na mtu ambaye hajui kilugha , Wasiojua kuongea kilugha wanakuwa wamelelewa na ulimwengu na mtu akiongea kilugha anakuwa amelelewa na kijiji.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
HakikaMwenye huu uzi ndio definition ya USHAMBA wenyewe sasa
Ni ushamba kuongea kilugha kati ya watu wengi hata usiowajua.We Bwana swala la ushamba na mtu kujua kilugha haina uhusiano mbona kuna watu hawajui vilugha vyao na wamezaliwa mjini bado washamba tu!
😀😀😀😀😀There is no hope for this generation
😀😀😀 kinyaturu.Unaongeaga kimasai kwenye bus
Napenda wanyaturu sana, ila wewe umeniwekeaga kaugumu kabisa. Fanya kufungua hiyo PM basi😀😀😀 kinyaturu.
Kuku wako manati ya nini? Acha uzi wa watu huu...Napenda wanyaturu sana, ila wewe umeniwekeaga kaugumu kabisa. Fanya kufungua hiyo PM basi
Ntakupatia wapi sasa mamalai. Nikija umefunga milangoKuku wako manati ya nini? Acha uzi wa watu huu...
Elimu inasaidia kupunguza ushamba lakini haina garantee ya kuuundoa kabisa. Hujawahi waona maprofesa washamba? Humo makazini hujawahi kutana na workmates wasomi lakini washamba?I can't say my daddy who made to Havard University ni mshamba simply he knew how to speak his vernacular language, mtoa mada jikague haupo sawa naona battery low na huu mgao.
Definition ya mshamba is very wide.
1- mshamba ni yule anaejiona Bora kuliko Wengine.
2- mshamba ni yule asiethamini asili yake
3- mshamba ni msomi anaepaka mkorogo Ili Hali anajua madhara yake.
4-.......
Mantiki ya hoja yako ni nzuri, isipokuwa haukudadavua kuivisha makoti hoja hii.Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua na kuwaepuka.
Sasa basi, kuna dalili nyingi za kumtambua mtu mshamba, lakini kwa Tz dalili moja ya wazi ni mtu kujua kuongea kilugha. Ukiona mtu anaongea kilugha, taa ya hatari iwake kichwani mwako. Si wote wanaoongea kilugha ni washamba, lakini hilo ni moja ya dalili kuu za mtu mshamba.