Msishangae
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 363
- 267
Be mdimi wilonga hihi pe deeNdimgaya sida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Be mdimi wilonga hihi pe deeNdimgaya sida
Kukosa uvumilivu wa kidini ni dalili nyingine ya ushamba.kwasababu wwe huongeagi Kiarabu ya Waarabu???kwanza nyie waislamu mumebadilisha mpaka majina za mababu wenu!cheki jina yako
🥺
Kuna mmasai na mjaluo hapo,yaan mmepanda coaster ukute kuna wajaluo 3 au wamasai 3 hilo gari nzima wao ndio watakua wanapiga storyUkipanda basi na wasukuma wa Maswa usiposhuka basi ujihesabu wewe una roho ngumu.
Yani usiombe wengine wapate siti za mbele wengine siti za nyuma na bado wanataka waongeleshane, mziki wake sio wa kitoto.
Hao ni hovyo kabisa hata wanangu sitaki waige ujinga wa huko;wenyewe ukikaa nao mpo mtu 3 ila wao wanachapa kilugha tu.Kwaiyo wahaya washamba....[emoji3]
Yaan wewe ni mbulula na mpumbavu sana. Kuishi mjini unajiona mjanja sana.Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua na kuwaepuka.
Sasa basi, kuna dalili nyingi za kumtambua mtu mshamba, lakini kwa Tz dalili moja ya wazi ni mtu kujua kuongea kilugha. Ukiona mtu anaongea kilugha, taa ya hatari iwake kichwani mwako. Si wote wanaoongea kilugha ni washamba, lakini hilo ni moja ya dalili kuu za mtu mshamba.
What's your definition of so called USHAMBA? mine is there on my explanations.Elimu inasaidia kupunguza ushamba lakini haina garantee ya kuuundoa kabisa. Hujawahi waona maprofesa washamba? Humo makazini hujawahi kutana na workmates wasomi lakini washamba?
Hawa ndo wale wanongea kiswahili na kiingereza Cha puani wanajiona wajanja kumbe ni ndo wajinga na wapumbapu Fulani vileSiyo mshamba, ni dalili moja kubwa kuwa ni mshamba.
Kuwa makini sana na watu wanaojua vilugha. Uwezekano wakawa washamba ni mkubwa sana.Yaan wewe ni mbulula na mpumbavu sana. Kuishi mjini unajiona mjanja sana.
Kumbe kuongea kiswahili ndo ujanjà sana.
Yaani kwa akili hizi za vijana wajinga na wapumbapu kama wewe. Ni hakika ccm itaendelea kututawala.
Yaan kwako issue ya mtu kuongea kiluga ni ushamba?
Nimeweka hapo kwenye post ya kwanza definition. Na kuongea kiingereza ili uonekane ni dalili nayo ya ushamba.What's your definition of so called USHAMBA? mine is there on my explanations.
Speaking English doesn't make you to be exceptional.
I believe in EXPOSURE Kila mtu ni mshamba kulingana na mazingira yaliyopo.
Umekulia kimatengo? Kuna uwezekano mkubwa ukawa mshamba. Umejaa kichwani mitazamo ya kimatengo.Najua vilugha ; kimatengo na Kiganda,
Najua kiswahili,
Najua Kingereza,
Najua kifaransa,
Mleta thread ni kati ya wale wenye matatizo ya akili.
Nyie ni wale waongea kiswahili Cha puani halafu mnajiona wajanja kumbe ni wapumbavu fulanKuwa makini sana na watu wanaojua vilugha. Uwezekano wakawa washamba ni mkubwa sana.
Ngoja niwaorodheshe washamba wakubwa hapa nchini:Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua na kuwaepuka.
Sasa basi, kuna dalili nyingi za kumtambua mtu mshamba, lakini kwa Tz dalili moja ya wazi ni mtu kujua kuongea kilugha. Ukiona mtu anaongea kilugha, taa ya hatari iwake kichwani mwako. Si wote wanaoongea kilugha ni washamba, lakini hilo ni moja ya dalili kuu za mtu mshamba.
Ujanja ulio nao kama haubadilishi maisha yako kiuchumi hamna la maana! Na kwa sehemu kubwa hapo Dar wanaoongea kilugha ndo wenye maisha mazuri! Nyinyi mnaojifanya born town wengi mafala vizinga ndo tabia zenu!Lugha hizo zipo namna hiyohiyo zilivyokuwa miaka 100 iliyopita. Zitakusaidia nini zaidi ya kukujaza concepts za kishamba. Mawazo ya miaka mia iliyopita.