Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Mshamba ni nani?Inamaana huoni ushamba wa Mukandala? unafikiri kufika chuo kikuu na kuwa na pesa kunaondoa ushamba? Hujawahi ona maprofesa na matajiri washamba?
Kwa sababu ni Profesa? Kama hicho ni kigezo mbona Profesa Kabudi mshamba tu, Tena mshamba sana.fikra za kitoto kwa watu wazima
Rwekaza Mukandara anaongea kilugha chake vizuri tu na siyo mshamba?
lugha ni utamaduni ni mzizi wa jamii yoyote ile ..... jamii isyokuwa na utamaduni ni sawa sawa na mti usio na mizizi
kuongea kilugha ziyo ushamba jitafakari mkuu
Ukitaka usipangiwe ubaki nacho mwenyewe,,,, ukilleta kwenye public watu watachangia tu na wala siyo kupangiwa .tusipangiane cha kuongea
Nimedefine pale juu. Kwa kifupi tunaweza sema mtu asiye mshamba ni yule amestaarabika: Kwa matendo, kwa mawazo, kwa tabia na uelewa kwa ujumla. Hata kama hajapita shule wala siyo tajiri. Mshamba ni kinyume chake.Mshamba ni nani?
yupo wapi?
anafanya ninini?
sifa za mtu mshamba ukiacha kuongea kilugha chake ni zipi?
ushamba wa mtu hupimwaje?
jenga hoja kwa kujibu hayo maswali ili tuelewe
kuishi maisha ya kwenye movies ili kuonekana wa mjini nao siyo ushamba?
Hahaaaa, hata yeye mwenyewe pia. Kuna ushamba mwingi sana umefanywa na REDET.Kwa sababu ni Profesa? Kama hicho ni kigezo mbona Profesa Kabudi mshamba tu, Tena mshamba sana.
Kwa hiyo ukikutana na mwingereza akiongea kiingereza mjini atakuwa ni mshamba! Tabu kweli.Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua na kuwaepuka.
Sasa basi, kuna dalili nyingi za kumtambua mtu mshamba, lakini kwa Tz dalili moja ya wazi ni mtu kujua kuongea kilugha. Ukiona mtu anaongea kilugha, taa ya hatari iwake kichwani mwako. Si wote wanaoongea kilugha ni washamba, lakini hilo ni moja ya dalili kuu za mtu mshamba.
Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.

Kuna kama yule mshamba wa Chato, ile ndio icon ya ushamba.Nimedefine pale juu. Kwa kifupi tunaweza sema mtu asiye mshamba ni yule amestaarabika: Kwa matendo, kwa mawazo, kwa tabia na uelewa kwa ujumla. Hata kama hajapita shule wala siyo tajiri. Mshamba ni kinyume chake.
kaazi kweliNimedefine pale juu. Kwa kifupi tunaweza sema mtu asiye mshamba ni yule amestaarabika: Kwa matendo, kwa mawazo, kwa tabia na uelewa kwa ujumla. Hata kama hajapita shule wala siyo tajiri. Mshamba ni kinyume chake.
Ushamba kwa kuongea lugha moja ya kilugha au lugha zaidi ya moja?Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua na kuwaepuka.
Sasa basi, kuna dalili nyingi za kumtambua mtu mshamba, lakini kwa Tz dalili moja ya wazi ni mtu kujua kuongea kilugha. Ukiona mtu anaongea kilugha, taa ya hatari iwake kichwani mwako. Si wote wanaoongea kilugha ni washamba, lakini hilo ni moja ya dalili kuu za mtu mshamba.
Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua na kuwaepuka.
Sasa basi, kuna dalili nyingi za kumtambua mtu mshamba, lakini kwa Tz dalili moja ya wazi ni mtu kujua kuongea kilugha. Ukiona mtu anaongea kilugha, taa ya hatari iwake kichwani mwako. Si wote wanaoongea kilugha ni washamba, lakini hilo ni moja ya dalili kuu za mtu mshamba.
Hujaelewa. Kuongea kilugha siyo ushamba, ila ni dalili kubwa ya ushamba. Kwa hiyo ukiona mtu anajua kuongea kilugha kuwa makini naye sana.Ushamba kwa kuongea lugha moja ya kilugha au lugha zaidi ya moja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni dalili nyingine ya ushamba, kutukana watu.Toka nimewahi kukutana na watu wapumbavu na mpuuzi ni wewe
Lugha hizo zipo namna hiyohiyo zilivyokuwa miaka 100 iliyopita. Zitakusaidia nini zaidi ya kukujaza concepts za kishamba. Mawazo ya miaka mia iliyopita.Jitu linezaliwa dsm halijui lugha yoyote ya kwako yupoyupo tu