Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

Wrooooong!Bado u-mjinga sana.Kuna watu wana vipaji vya kuongea lugha hata iweje!Weye mwenye kichwa boksi mgumu wa kuelewa lugha sina cha kukusaidia.Kuongea lugha za asili si kwamba hatujui mengine.Mimi najua Kiswahili,Kikurya,Kikwaya,Kijita,Kinyamwezi,Kihehe,Kibena,Kinyaturu and so forth!
 
Nimedefine pale juu. Kwa kifupi tunaweza sema mtu asiye mshamba ni yule amestaarabika: Kwa matendo, kwa mawazo, kwa tabia na uelewa kwa ujumla. Hata kama hajapita shule wala siyo tajiri. Mshamba ni kinyume chake.
Kustaarabika ndio kuwa namna gani?
Na kwa nini kama mtu anajua kilugha anakuwa hajataarabika?
 
Kujua kilugha so shida, shida ni kuongea katika mazngira yasiyo sahihi
 
Mkuu huyo Rwekaza ukimuweka kwenye ulimwengu wa wasomi wenzake wasiojua kilugha ushamba wake utajulikana tu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Utashangaa na wewe wazazi wako walijikamua kutoa ada ukasome, si bora hata baba yako angepiga punyeto tu.
 
Mshamba ni nani?
yupo wapi?
anafanya ninini?
sifa za mtu mshamba ukiacha kuongea kilugha chake ni zipi?
ushamba wa mtu hupimwaje?
jenga hoja kwa kujibu hayo maswali ili tuelewe
kuishi maisha ya kwenye movies ili kuonekana wa mjini nao siyo ushamba?
We kwani unajua kitu gani kina wafanya viongozi wetu wasanii mikataba mibovu wakiwa kwa wazungu kwani elimu hawana? Sema washamba.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Lazima atakuwa mshamba tu kwenye mambo mengi ni tofauti na mtu ambaye hajui kilugha , Wasiojua kuongea kilugha wanakuwa wamelelewa na ulimwengu na mtu akiongea kilugha anakuwa amelelewa na kijiji.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kabisa. Na huwa wabaguzi sana, mfano. lugha nyingi zina majina huwa zinawaita watu wasio wa lugha hiyo. Mara nyingi majina hayo huwa ni kama tusi au dhihaka. Sasa mtu anayefahamu habari za vilugha anakuwa pia kajengewa na huo mtazamo. Ukiona jirani ni msomi au tajiri lakini haishi kugombana na wengine, mara anataka kuiba mpaka mfuatilie, utakuta anajua kilugha 😀
 
Kuna ukweli kiasi katika hoja yako
 
Lushindo lwako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukipanda basi na wasukuma wa Maswa usiposhuka basi ujihesabu wewe una roho ngumu.

Yani usiombe wengine wapate siti za mbele wengine siti za nyuma na bado wanataka waongeleshane, mziki wake sio wa kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…