Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

Hata kifaransa ni kilugha, ndo maana wakiongea huelewi kama kidigo.
 
Ujinga na upumbavu nazo ni sifa.
Hakika mtoa mada sifa hizo zimekusheheni.
Kwa definition yako Mwalimu Nyerere basi alikuwa mshamba.
 
Kuongea lugha za makabira ya vijijini ukiwa maeneo ya mjini haifai

Mimi nafahamu kihaya lakini siwezi kuzungumza kihaya na mtu anayefahamu kiswahili never never..

Kuongea lugha za Asili kwa watu wanofahamu kiswahili ni upuuzi mkubwa.
 
Ujinga na upumbavu nazo ni sifa.
Hakika mtoa mada sifa hizo zimekusheheni.
Kwa definition yako Mwalimu Nyerere basi alikuwa mshamba.
Kuongea kilugha ni ishara kubwa kuwa mtu huyo ni mshamba. Lugha imestack na habari za miaka ya 1800. Wewe unajifunza na kuiongea leo, si utakuwa na mawazo ya miaka hiyo na ya kijijini kwenu tu!? Hata utsmaduni wako utakuwa hivyo.
 
Hata kifaransa ni kilugha, ndo maana wakiongea huelewi kama kidigo.
Kiswahili, Kifaransa, kiingereza nk. Ni lugha kubwa. Zinaweza elezea mawazo karibu yote ya kisasa. Sasa wewe na kikerewe chako si umejaa tu habari za uvuvi, mitumbwi, kilimo, mamba, samaki na habari kuhusu uchawi? Ukija mjini unafikiri hayo ndiyo mambo ya maana.
 
Wewe ni brain washed na wazungu... unaona labda kuongea Kiingereza ndo ujanja/umjini. Stupid!
 
Ujanja ulio nao kama haubadilishi maisha yako kiuchumi hamna la maana! Na kwa sehemu kubwa hapo Dar wanaoongea kilugha ndo wenye maisha mazuri! Nyinyi mnaojifanya born town wengi mafala vizinga ndo tabia zenu!
Kuwa na maisha mazuri hakufanyi usiwe mshamba(Usiyestaarabika)
 
wanywana ebhe,,,,,! nyanoko, ebhe nyolo tombolloko ebhe
 
Kuongea kilugha ni ishara kubwa kuwa mtu huyo ni mshamba. Lugha imestack na habari za miaka ya 1800. Wewe unajifunza na kuiongea leo, si utakuwa na mawazo ya miaka hiyo na ya kijijini kwenu tu!? Hata utsmaduni wako utakuwa hivyo.
Wewe ni kinda mjinga mjinga amnaye hajui vipi Mkwawa aliorganisena kumaae jeshi lililompiga mzungu Major Von Zewelensky.

In the mean time baki na ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…