Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Du...ninyi watoto mnaonuka mikojo mna matatizo sana.Kuongea kilugha ni ishara kubwa kuwa mtu huyo ni mshamba. Lugha imestack na habari za miaka ya 1800. Wewe unajifunza na kuiongea leo, si utakuwa na mawazo ya miaka hiyo na ya kijijini kwenu tu!? Hata utsmaduni wako utakuwa hivyo.
Lugha ni njia ya kuwasiliana inayotumika sehemu/na jamii fulani. Ukiwa hapa bongo unaongea kiswahili bro hicho ni kilugha na lizungu likiongea kingreza linaongea kilugha kutoka jamii yake uko.Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua na kuwaepuka.
Sasa basi, kuna dalili nyingi za kumtambua mtu mshamba, lakini kwa Tz dalili moja ya wazi ni mtu kujua kuongea kilugha. Ukiona mtu anaongea kilugha, taa ya hatari iwake kichwani mwako. Si wote wanaoongea kilugha ni washamba, lakini hilo ni moja ya dalili kuu za mtu mshamba.
Fuatilia mtaani au kazini kwako. Watu wale wanaopenda sana ishu za kishirikina, mara wamenda kwa waganga nk. Utagundua wanajua kilugha. Kaa mbali na mtu anayejua kilugha, wengi wao washamba sana.Wewe ni kinda mjinga mjinga amnaye hajui vipi Mkwawa aliorganisena kumaae jeshi lililompiga mzungu Major Von Zewelensky.
In the mean time baki na ujinga wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daa hii swali hata mie nasubilia jibu.Tibaigana Alfred alikuwa anaongea kiswahili Kama kihaya Sasa Mtu huyo kasoma Dsm na Mataifa mengine Ulaya na kuufanya kazi Tz na Mataifa mengine na aliwazibiti watoto wa Town .vipi naye ni Mshamba?
Mkuu, fahamu hata kiswahili ni kilugha fulani hivi.Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua na kuwaepuka.
Sasa basi, kuna dalili nyingi za kumtambua mtu mshamba, lakini kwa Tz dalili moja ya wazi ni mtu kujua kuongea kilugha. Ukiona mtu anaongea kilugha, taa ya hatari iwake kichwani mwako. Si wote wanaoongea kilugha ni washamba, lakini hilo ni moja ya dalili kuu za mtu mshamba.
Tena ndio ushamba na ulimbukeni mkubwa mno.Lakini kuongea kiingereza ndio dalili ya mjanja sio?
Uko sahihi na ni washamba kweri kweri [emoji3][emoji3]Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua na kuwaepuka.
Sasa basi, kuna dalili nyingi za kumtambua mtu mshamba, lakini kwa Tz dalili moja ya wazi ni mtu kujua kuongea kilugha. Ukiona mtu anaongea kilugha, taa ya hatari iwake kichwani mwako. Si wote wanaoongea kilugha ni washamba, lakini hilo ni moja ya dalili kuu za mtu mshamba.
Kuogopa kuongea kiluga chako, eti kwa sababu utaonekana mshamba, huo ni ushamba pia, nyie ndiyo mkienda kwenu mnauliza vitu ambavyo mnavijua, eti hiki kinaliwaje, hiki kinatumikaje, ili uoneka wa mjini. uwa mjini hauonyweshi unajionyesha wenyewe.Na ushamba zaidi huwa wanalazimisha na wewe uongee nao kilugha mi nawachinjiaga baharini...ataongea kilugha mi namjibu kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichokiandika hapa ndio ushamba wenyeweTudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.