Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wenye miradi yao ccmKina nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye miradi yao ccmKina nani?
Sijakuelewa.Tatizo ni pesa ya kudunduliza anayopewa Yapi,
Mimi ni site Morogoro
Uwezekano huo ni mkubwa maana ukimuona nyani mjini kama kariakoo basi ujue kuna aliye mleta
Ndiyo hesabu zao makusudi kabisaAongezewe muda ili akamilishe Sgr?
Hatutaki mambo ya kina m7 na kgameSiyo vibaya ila kaonyesha njia au wewe ulitakaje mkuu
Mimi naamini kabisa Tanzania wakiwa serious wakaja na sera rafiki nchi hii itafika mbali. Nakumbuka walivyoondoa road licence na kuweka katika tozo ya mafuta watu walifurahia sio kwamba wanalipa less hapana wanalipa zaidi kila ukinunua mafuta lakini wamefurahi ufanisi. Hizi utitiri wa vibali ni changamoto kubwa sana watu wangelipa yote kwa furaha gharama hiyohiyo lakini one stop basi kibali kimoja kimebeba kila kitu. Kosa kubwa nadhani inabidi warekebishe haraka sana, serikali kazi yao sera na kukusanya kodi sio biashara, sasa kazi zote za ujenzi ukiwa unawapa jeshi sijui ulinzi JKT Suma wamekuwa kama group 4 wanafanya kazi ambazo zilitakiwa sector binafsi wafanye. Jeshi wako katika payrol hutengenezi ajira mpya bado unawapa kazi za ujenzi, pesa haiendi katika mzunguko kwa watu inabaki humohumo ndani mfuko wa kulia kwenda wa kushoto haya mazingira hakuna atakuja kuwekeza. Katika hili mimi napinga kabisa serikali ijikite katika kuweka sera, kusimamia na kuwezesha mwisho wa siku ajira nyingi na kodi itaongezeka.Nadhani pia tatizo letu hatuna "National Vision and Mission" ndio maana kila rais anayekuja anaweza kuacha aliyo yakuta na kuanza michakato yake binafsi.
Umegusia suala la urasimu pia, kweli ni kikwazo sana. Kukamilisha jambo dogo tu kunakuhitaji upitie ngazi nyingi tofauti na tozo/kodi za kero kila unapopita. Hii inatupotezea muda na kukwamisha maendeleo.
Issue ya technology ndio naona kama tumeipa kisogo kabisa, hadi leo unaenda ofisi za umma eti unaambiwa subiri labda baada ya wiki 2 tunatuma taarifa makao makuu, seriously?!
Pia awamu hii inaua sekta binafsi kwa kutaka ifanye kila kitu, hilo haliwezi zaa matunda ni suala la muda tu.
Unakazana kuua sekta binafsi then unafanya miradi kama SGR, Hydro power, Ndege sasa unajiuliza serikali huwa ina mizigo gani ya kusafirisha? Serikali itafanyia nini huo umeme wote kama sio sekta binafsi? Ndege ni mtumishi gani wa umma anayemudu huo usafiri ukiacha wachache wa ngazi za kati na juu?
Nini tena? Mzee wa mikatuniLile dubwasha halina akili,wewe subiri utashuhudia jinsi Corona itakavyomtesa!
Bilashaka anamaanisha yuko SITE pale Morogoro,na mkandarasi analipwa kwa kusuasua.Sijakuelewa.
sijawataja ni akina nani wanaokujaKwaiyo unafurahi ujenzi kutokamilika kwa wakati, kwani hata usipokamilika we unapata faida gani?kwanza inabidi tumpongeze Magufuli kwa uthubutu pamoja na mdororo wa uchumi kwasababu ya corona, serikali ya Magufuli bado wanaendelea na miladi yote,nchi nyingi miladi mikubwa wamesimamisha, mpaka wanafikia kupunguza wafanyakazi.Maguri ni mwanaume wa shoka.
Shida ni muamala umekata!Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.
Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019 na kipande hiki kina umbali wa km 202. Lakini leo hii tupo mwaka 2021 lakini nimezungumza na wadau ambao wapo site wanasema huu mwaka hawawezi kukamilisha.
Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works ila kwa uzoefu wake ameniambia kuwa kampuni ya Yapi merkez wapo slow katika kuchapa kazi. Maana anasema amefanya kazi za ujenzi kwa muda mrefu na haoni ugumu wa ujenzi wa reli maana kazi kubwa ni kujaza tuta na kisha kutandaza reli.
Kwa hiyo kukata udongo na kujaza tuta sio kazi ya kuchukua miaka minne,japokuwa kuna ujenzi wa madaraja,vituo na miundo mbinu ya umeme. Bora hii tenda wangepewa wachina tangu awali hizo km 202 zingekamilika.
Kuambia watu kuwa tutamilisha ujenzi wa Sgr ndani ya miaka 5 iliyobaki ya utawala wa JPM ni ndoto za mchana. Maana kwa kasi hii ya kampuni ya Yapi merkez ni kujidanganya kuwa vipande vya Makutupora to Moro,Dom to Tabora na Tabora to Isaka vitakamilika kwa wakati.
Inashangaza kwa nini PM majaliwa haoni aibu kila mara kutuambia kuwa tupo karibu kuanza kupanda treni ya umeme wakati kiuhalisia bado sana.
Facts about TAZARAMmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works ila kwa uzoefu wake ameniambia kuwa kampuni ya Yapi merkez wapo slow katika kuchapa kazi. Maana anasema amefanya kazi za ujenzi kwa muda mrefu na haoni ugumu wa ujenzi wa reli maana kazi kubwa ni kujaza tuta na kisha kutandaza reli.
Kwa hiyo kukata udongo na kujaza tuta sio kazi ya kuchukua miaka minne,japokuwa kuna ujenzi wa madaraja,vituo na miundo mbinu ya umeme. Bora hii tenda wangepewa wachina tangu awali hizo km 202 zingekamilika.
Kuambia watu kuwa tutamilisha ujenzi wa Sgr ndani ya miaka 5 iliyobaki ya utawala wa JPM ni ndoto za mchana. Maana kwa kasi hii ya kampuni ya Yapi merkez ni kujidanganya kuwa vipande vya Makutupora to Moro,Dom to Tabora na Tabora to Isaka vitakamilika kwa wakati.
Shida ni pesa!!kama mkandarasi mwenyewe hapewi pesa kwa wakati utamlaumu vipi??kuna kijiji huko pwani kinadai bilioni 8, za tozo za kuchimba kokoto, hadi walitishia kuzuia malori ya kampuni!!kwani si kulikuwa na kampuni nyingine ya kireno, iko wapi?licha ya kukopa kila leo ili kuokoa jahazi bado hali tete!!yaani awamu ijayo atakuwa na kazi kubwa sana, ila endapo tu katiba haitachokonolewa!!!kwani haya maneno ya kina jaah people!!Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.
Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019 na kipande hiki kina umbali wa km 202. Lakini leo hii tupo mwaka 2021 lakini nimezungumza na wadau ambao wapo site wanasema huu mwaka hawawezi kukamilisha.
Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works ila kwa uzoefu wake ameniambia kuwa kampuni ya Yapi merkez wapo slow katika kuchapa kazi. Maana anasema amefanya kazi za ujenzi kwa muda mrefu na haoni ugumu wa ujenzi wa reli maana kazi kubwa ni kujaza tuta na kisha kutandaza reli.
Kwa hiyo kukata udongo na kujaza tuta sio kazi ya kuchukua miaka minne,japokuwa kuna ujenzi wa madaraja,vituo na miundo mbinu ya umeme. Bora hii tenda wangepewa wachina tangu awali hizo km 202 zingekamilika.
Kuambia watu kuwa tutamilisha ujenzi wa Sgr ndani ya miaka 5 iliyobaki ya utawala wa JPM ni ndoto za mchana. Maana kwa kasi hii ya kampuni ya Yapi merkez ni kujidanganya kuwa vipande vya Makutupora to Moro,Dom to Tabora na Tabora to Isaka vitakamilika kwa wakati.
Inashangaza kwa nini PM majaliwa haoni aibu kila mara kutuambia kuwa tupo karibu kuanza kupanda treni ya umeme wakati kiuhalisia bado sana.
Wakikuimbisha kama huna akili za kuzaliwa huchomowi!Jamaa kumbe ma CON Artists wa kiwango
Mtanzania anaweza kuchomelea IC ya umeme kwenye board ya PC mbovu na PC ikapona unahisi atashindwa kupanga mataruma ya saruji?basi kama ni ivo watanzania wote ni maenginer wa reli
Hamna noma nimekuelewa mkuuWakikuimbisha kama huna akili za kuzaliwa huchomowi!
Kwenye maisha yako kuwa nao makini!
Uko sahihi, umeshauri vitu vingi vya msingi. Ukisoma michango mingi ya wadau wanatoa mawazo ambayo yakichukuliwa positively na kuboreshwa kisha kufanyiwa utekelezaji unaona kabisa tungesogea kule tunataka kufika kama taifa.Mimi naamini kabisa Tanzania wakiwa serious wakaja na sera rafiki nchi hii itafika mbali. Nakumbuka walivyoondoa road licence na kuweka katika tozo ya mafuta watu walifurahia sio kwamba wanalipa less hapana wanalipa zaidi kila ukinunua mafuta lakini wamefurahi ufanisi. Hizi utitiri wa vibali ni changamoto kubwa sana watu wangelipa yote kwa furaha gharama hiyohiyo lakini one stop basi kibali kimoja kimebeba kila kitu. Kosa kubwa nadhani inabidi warekebishe haraka sana, serikali kazi yao sera na kukusanya kodi sio biashara, sasa kazi zote za ujenzi ukiwa unawapa jeshi sijui ulinzi JKT Suma wamekuwa kama group 4 wanafanya kazi ambazo zilitakiwa sector binafsi wafanye. Jeshi wako katika payrol hutengenezi ajira mpya bado unawapa kazi za ujenzi, pesa haiendi katika mzunguko kwa watu inabaki humohumo ndani mfuko wa kulia kwenda wa kushoto haya mazingira hakuna atakuja kuwekeza. Katika hili mimi napinga kabisa serikali ijikite katika kuweka sera, kusimamia na kuwezesha mwisho wa siku ajira nyingi na kodi itaongezeka.