Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

Ndio namshangaa mleta mada inaonekana anafurahia,sasa sijui itamsaidia nini.Kipande cha MORO 95 % stesheni zote zimekamilika.Sehemu ambayo walikuwa wanamalizia ni daraja pale Buguruni na Nkurumah. Pia kipande cha PUGU kuja Town,na ngerengere to Moro kuna vipande vidogo wanamalizia kutandika reli.Kama mambo yatakwenda vizuri mwezi wa 4 wataanza testing.
 
Nifurahi ili iweje? Mimi ninaongea na kijana mpampanaji ambae yupo Soga ananiambia bado sana maana mnahubiri uongo kuliko uhalisia. 95% ya mradi tungeanza kuona majaribio ya vichwa vya treni.
 
Mradi una phase tatu, mleta mada anazungumzia phase1 Dar to Moro na ndiyo ameambiwa na msiri wake haitakamilika kwa kipindi cha awamu hii, wewe unazungumzia phase gani?
Jifunze kusoma na kuelewa.
 
Tutamuongezea muda mpaka haikamilishe
 
Eleza muktadha wa dondoo hili. Bainisha tamathali ya usemi iliyotumika katika dondoo hili. Ushauri uliotolewa na msemaji baadaye kama njia ...
 
Uko sahihi sana, Sasa ukipata nafasi kapitie deni la taifa baina ya hao marais wengine na huyu, kisha uje na mrejesho.
Nafikiri kama angekopa alafu akajenga reli ndani ya miaka miwili na ikaanza kuzalisha ilikuwa ni jambo jema. Sasa kama km 202 zinajengwa kwa miaka minne je hizo zilizobaki?
 
Nifurahi ili iweje? Mimi ninaongea na kijana mpampanaji ambae yupo Soga ananiambia bado sana maana mnahubiri uongo kuliko uhalisia. 95% ya mradi tungeanza kuona majaribio ya vichwa vya treni.
Report ya mwezi DEC hawajaweka Yapi ndio nakwambia vimebaki vipande vidogo vidogo ndio wanamalizia nimekuorozeshea. Wanaonyesha njia zima toka Dar to Moro wanarekodi kwa drone.Sasa unataka majaribio wakati hawajamaliza.Tupende vya kwetu hata kama kuna upungufu kidogo.Suala la kuchelewa kumaliza lilitolewa ufafanuzi ni sababu ya mvua nyingi zilizonyesha 2019 mwishoni mpaka 2020 April zilichangia pia
 
Mvua nyingi ndio ziongeze miaka mbili mbele? Njia nzima Dar to Moro unaweza kurekodi kwa drone?
 
Mvua nyingi ndio ziongeze miaka mbili mbele? Njia nzima Dar to Moro unaweza kurekodi kwa drone?
Unashangaa nini sasa ingia Youtube utakuta report zote zipo njia nzima inarekodiwa kwa drone toka stesheni ya Dar to Moro.Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa ujenzi wa SGR.Report zote zipo hata kipande cha pili Moro to Makutupolo zipo.Weka bando la maana uone.Ndio maana nimekwambia report ya Dar to Moro kwa DEC hawajaweka,ila kipande cha Moro to Makutupola ipo report yake Youtube
 
Youtube? Huna hata aibu.
 
Mvua nyingi ndio ziongeze miaka mbili mbele? Njia nzima Dar to Moro unaweza kurekodi kwa drone?
Unaonekana ata hufatilii, kwenye page ya youtube ya yapi markenzi wanaweka report za kila mwezi za progress ya miradi hio, wanatumia drone kuonesha njia nzima ya dar to moro. So mwenyewe unaweza kukadiria kama bado mpaka miaka mitano au tusibiri mwezi wa nne mwaka huu waanze testing ya train
 
Youtube? Huna hata aibu.
Aibu ya nini sasa, kwani wote unataka tufike site.Wakati unarahisishiwa kwa technolojia.Weka bando angalia acha maneno maneno.Stesheni ya DAR NA Moro zimeshamalizika.Ingia TRC ReliTV utaona huko kwenye Youtube.
 
Serikali hawalipi kwa wakati kama ulikuwa hujui kuwa kuna Ukata mkubwa wafanyakazi wanadai mishahara makandarasi wana madai yao wadhabuni wanadai na Serikali huchelewesha malipo, Tatizo ni Serikali kusuasua kulipa tatizo siyo kampuni hiyo ya Uturuki
 
Hafuatili ana shangaa drone kurekodi njia nzima.Nimwemwambia weka bando la data aone
 
Kulikuwa na umuhimu gani kutoa kipaumbele kwa mradi unaohitaji pesa nyingi na haukamiliki karibuni wakati sekta nyingine muhimu kama kilimo, elimu, afya, maji, umeme, biashara, ajira nk zinazorota?
Serikali walijinadi kujenga kwa pesa za ndani, Tatizo kubwa ni Serikali kuwalipa kwa wakati yapo malalamiko mengi kwenye ucheleweshaji malipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…