Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #201
Kumbuka Dom to Tabora hakuna mkandarasi, Tabora to Isaka?Mradi wa SGR ni mkubwa sana. Hauwezi kukamilika wote ndani ya kipindi cha awamu hii. Kasi ndogo ya Yapi haina uhusiano na kuchelewa kwa lots zilizobaki. Pesa yake ya mwishi ilikuwa kwenye bajeti ya 2018/19.
Pia serikali ni kama ishajifunza kutoka lot 1 ndiyo sababu pengine lot 5 kapewa Mchina. Huenda lots nyingine wakapewa wengine pia. Mradi mzima wa reli ya kati ni takriban kilomita 2500 hivyo haiwezi kukamilika awamu hii.
Bali kwa kipande cha Dar - Mwanza itakuwa ajabu iwapo hakitakamilika by 2025.