Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waturuki ni wavivu na hawawezi mchakamchaka.Serikali ndiyo Tatizo Tatizo siyo kampuni ya ujenzi naomba mleta mada Tambua hilo maana inaelekea kichwa chako kimejaa moshi, nimekufafanulia kuwa Tatizo ni usumbufu wa malipo kuna ucheleweshaji mkubwa wa malipo ndiyo hupelekea ujenzi kusua sua, Wachina watajenga kwa kasi kwa sababu hawajengi kwa pesa za ndani kama waturuki.
Crap.Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works this is a serious problem among many..how comes to talk to unprofessional people and yet you openly conclude your null hypothesis to be true??? Please if you are competent enough and educated get some time to think of what you are about to post otherwise shut up your brain and mouth. Let the great thinkers do it as the forum suggest.
Nenda shule tena. Hata hujui kuwa TAZARA ni SGR?Huo uzoefu wa kuweka SGR kautolea wapi? Nje ya nchi au ndan? SGR sio kama hzi rail za kawaida..hakuna SGR bongo..hyo ni ya kwanza..nazan ungewauliza wataalamu halisi na sio wenye uzoefu tu bila utalaam..
Niteuliwe na nani? Acha ujinga.Mleta mada kaamua kusaka uteuzi kishamba kwa njia haramu za kishetani pasipo kujua wala kufanya utafiti kabla ajue kuna Tatizo gani haswa mpaka kupelekea ujenzi kusuasua.
Ndo washaanza ivo....Hiyo ni moja ya sababu ambayo inaweza kutumiwa na wapambe.
Eti....!?Yaani hata kipande cha Dar-Moro kimeshindikana!? labda tumlazimishe akae milele...
Itakuw screpa na spares apart nyingi itabidi zibadilishwe ,kipindi hicho Ni kirefu mkuuMimi sioni shida hata ukikamilika baada ya 2030, nchi ina miradi mingi sio sgr pekee
Akili mgando iziAliyekwambia SGR inafika Tabora ndani ya awamu ya 5 ya miaka 10 nani?
SGR ndani ya awamu ya 5 inaishia Makutupora tu.
Ndio maana tunataka tumwongezee muda ili SGR ifike huko Tabora mpaka Isaka.
Umeelewa?
Mkuu nazan unashida kwenye construction industries..unajua ubora wa tuta la SGR na normal railyway?? Unajua speed inayopita nayo hiyo train ina impact gan kwenye railway??? Pole sana..siku nyingine jaribu kuuliza wataalam na sio wenye uzoefu. Huenda hujui uhusiano kati ya speed, force na pressure..pole kwa kukimbia physics mkuu.Kwa jibu hili ulilopost ni dhahiri kuwe wewe uelewa wako ni duni. Sgr au narrow gauge zote zinatengenezwa kwa kujenga tuta kisha kutandaza reli. Kaa kimya maana unajiabisha.
We kibarua kazi haipo moja tu mpaka eti ifike 2030. ikiisha hiyo utafute kibarua sehemu nyingine.huo mkataba wa vibarua kwanza ni temporary tu,unang'ang'ana Kama nawe engineer.ugali maharage anaowauzia mama ntilie hapo unakupunguzia uwezo wa kufikiriWe mgonjwa kweli wewe, unataka kazi ikamilike ndani ya miaka miwili ili wale tulioajiriwa humo kibarua kiote majani turudi vijiweni?
Nyie wanasiasa uchwala mna matatizo sasa, kazi kupiga porojo tu bila kuangalia uhalisia wa mambo. Mnakera sana
ubora wa tuta?Mkuu nazan unashida kwenye construction industries..unajua ubora wa tuta la SGR na normal railyway?? Unajua speed inayopita nayo hiyo train ina impact gan kwenye railway??? Pole sana..siku nyingine jaribu kuuliza wataalam na sio wenye uzoefu. Huenda hujui uhusiano kati ya speed, force na pressure..pole kwa kukimbia physics mkuu.
Hata ukibarua nayo bado ni njia ya kujipatia mapato. Engineer anapata mapato yake halali, na sisi makapuku tunapata mapato yetu halali ya ukibarua. Nyie wanasiasa wapiga porojo tuacheni na sisi tujipatie mapato.We kibarua kazi haipo moja tu mpaka eti ifike 2030. ikiisha hiyo utafute kibarua sehemu nyingine.huo mkataba wa vibarua kwanza ni temporary tu,unang'ang'ana Kama nawe engineer.ugali maharage anaowauzia mama ntilie hapo unakupunguzia uwezo wa kufikiri
Vipi mkuu, jamaa kazama sana ukashindwa kuelewa hata ubora wa tuta? 😅😅ubora wa tuta?
Endelea na kibarua chako kapuku ila mi sio mwanasiasa wala Sina porojo ,nachangia mada Kama wewe na pia nakosolewa kwa hoja lakini sijawahi kuambiwa mgonjwa kwa michango yangu.Hata ukibarua nayo bado ni njia ya kujipatia mapato. Engineer anapata mapato yake halali, na sisi makapuku tunapata mapato yetu halali ya ukibarua. Nyie wanasiasa wapiga porojo tuacheni na sisi tujipatie mapato.
Sawa, basi acha miradi iendelee kutekelezwa ili waliajiriwa humo nao waendelee kujipatia mapato.Endelea na kibarua chako kapuku ila mi sio mwanasiasa wala Sina porojo ,nachangia mada Kama wewe na pia nakosolewa kwa hoja lakini sijawahi kuambiwa mgonjwa kwa michango yangu.