Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

Mleta mada kaamua kusaka uteuzi kishamba kwa njia haramu za kishetani pasipo kujua wala kufanya utafiti kabla ajue kuna Tatizo gani haswa mpaka kupelekea ujenzi kusuasua.
 
Serikali ndiyo Tatizo Tatizo siyo kampuni ya ujenzi naomba mleta mada Tambua hilo maana inaelekea kichwa chako kimejaa moshi, nimekufafanulia kuwa Tatizo ni usumbufu wa malipo kuna ucheleweshaji mkubwa wa malipo ndiyo hupelekea ujenzi kusua sua, Wachina watajenga kwa kasi kwa sababu hawajengi kwa pesa za ndani kama waturuki.
Waturuki ni wavivu na hawawezi mchakamchaka.
 
Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works this is a serious problem among many..how comes to talk to unprofessional people and yet you openly conclude your null hypothesis to be true??? Please if you are competent enough and educated get some time to think of what you are about to post otherwise shut up your brain and mouth. Let the great thinkers do it as the forum suggest.
Crap.

Hivi hata kama una akili ndogo, huwezi kufanya projections kwa kuangalia kilichofanyika mpaka sasa na kile kilichobakia?

Tuna watu wanaohisi wamesoma kwa vile tu wanaweza kuandika sentensi chache za Kiingereza lakini hawana uwezo kufanya analyses. Hawa intellectually are doomed, hawana msaada wowote kwa nchi yetu.
 
Huo uzoefu wa kuweka SGR kautolea wapi? Nje ya nchi au ndan? SGR sio kama hzi rail za kawaida..hakuna SGR bongo..hyo ni ya kwanza..nazan ungewauliza wataalamu halisi na sio wenye uzoefu tu bila utalaam..
Nenda shule tena. Hata hujui kuwa TAZARA ni SGR?
 
Yaani hata kipande cha Dar-Moro kimeshindikana!? labda tumlazimishe akae milele...
 
Mleta mada kaamua kusaka uteuzi kishamba kwa njia haramu za kishetani pasipo kujua wala kufanya utafiti kabla ajue kuna Tatizo gani haswa mpaka kupelekea ujenzi kusuasua.
Niteuliwe na nani? Acha ujinga.
 
Watu wengi wanajadili bila kua na taarifa sahihi...heb mjitahidi kupitia youtube channel ya TRC au Yapi Markenzi b4 hatujatoa comment zetu...Dar Moro is almost over pribably 95%....vipande vilivyobaki ni vidogo vidogo sana...kila mwezi wanatoa progress video...am sure mtoa mada angezipitia hizo channel asingekuja kuandika alichoandika humu ndani
 
Aliyekwambia SGR inafika Tabora ndani ya awamu ya 5 ya miaka 10 nani?
SGR ndani ya awamu ya 5 inaishia Makutupora tu.
Ndio maana tunataka tumwongezee muda ili SGR ifike huko Tabora mpaka Isaka.
Umeelewa?
Akili mgando izi
 
We mgonjwa kweli wewe, unataka kazi ikamilike ndani ya miaka miwili ili wale tulioajiriwa humo kibarua kiote majani turudi vijiweni?
Nyie wanasiasa uchwala mna matatizo sasa, kazi kupiga porojo tu bila kuangalia uhalisia wa mambo. Mnakera sana
 
Kwa jibu hili ulilopost ni dhahiri kuwe wewe uelewa wako ni duni. Sgr au narrow gauge zote zinatengenezwa kwa kujenga tuta kisha kutandaza reli. Kaa kimya maana unajiabisha.
Mkuu nazan unashida kwenye construction industries..unajua ubora wa tuta la SGR na normal railyway?? Unajua speed inayopita nayo hiyo train ina impact gan kwenye railway??? Pole sana..siku nyingine jaribu kuuliza wataalam na sio wenye uzoefu. Huenda hujui uhusiano kati ya speed, force na pressure..pole kwa kukimbia physics mkuu.
 
We mgonjwa kweli wewe, unataka kazi ikamilike ndani ya miaka miwili ili wale tulioajiriwa humo kibarua kiote majani turudi vijiweni?
Nyie wanasiasa uchwala mna matatizo sasa, kazi kupiga porojo tu bila kuangalia uhalisia wa mambo. Mnakera sana
We kibarua kazi haipo moja tu mpaka eti ifike 2030. ikiisha hiyo utafute kibarua sehemu nyingine.huo mkataba wa vibarua kwanza ni temporary tu,unang'ang'ana Kama nawe engineer.ugali maharage anaowauzia mama ntilie hapo unakupunguzia uwezo wa kufikiri
 
Mkuu nazan unashida kwenye construction industries..unajua ubora wa tuta la SGR na normal railyway?? Unajua speed inayopita nayo hiyo train ina impact gan kwenye railway??? Pole sana..siku nyingine jaribu kuuliza wataalam na sio wenye uzoefu. Huenda hujui uhusiano kati ya speed, force na pressure..pole kwa kukimbia physics mkuu.
ubora wa tuta?
 
We kibarua kazi haipo moja tu mpaka eti ifike 2030. ikiisha hiyo utafute kibarua sehemu nyingine.huo mkataba wa vibarua kwanza ni temporary tu,unang'ang'ana Kama nawe engineer.ugali maharage anaowauzia mama ntilie hapo unakupunguzia uwezo wa kufikiri
Hata ukibarua nayo bado ni njia ya kujipatia mapato. Engineer anapata mapato yake halali, na sisi makapuku tunapata mapato yetu halali ya ukibarua. Nyie wanasiasa wapiga porojo tuacheni na sisi tujipatie mapato.
 
Endelea na kibarua chako kapuku ila mi sio mwanasiasa wala Sina porojo ,nachangia mada Kama wewe na pia nakosolewa kwa hoja lakini sijawahi kuambiwa mgonjwa kwa michango yangu.
 
Wewe mleta uzi ni kiazi kweli kweli. Unasema ni Kazi ya kujaza udongo na kutandika leli. Yaani informer wako ni kibarua wa mjini, ndio maana kakudanganya. Kuna sehemu nilipiga nikakuta wanapasua molina kweli kweli.

Tembea unionee dio unaambia na wabeba mchanga wa dar wewe unakurupuka kuleta uzi
 
Endelea na kibarua chako kapuku ila mi sio mwanasiasa wala Sina porojo ,nachangia mada Kama wewe na pia nakosolewa kwa hoja lakini sijawahi kuambiwa mgonjwa kwa michango yangu.
Sawa, basi acha miradi iendelee kutekelezwa ili waliajiriwa humo nao waendelee kujipatia mapato.
 
Back
Top Bottom