Dalili za mwanamke asiyekupenda kwa dhati

Aisee na mwanaume asiyekupenda anakuaje mkuu maana....[emoji848]
Sisi hatunaga mambo mengi, ni machache tu, hatutoi pesa za matumizi na unaiona kabisa ninayo ila sikupi hata kidogo na ukiniomba unaona na kwambia kabisa sikupi ili uniache. Pili tunaringa kutoa mchezo yaani unaweza ukataka nikakujibu sijisikii poa kufanya leo.
 
Daaa basi nilie nae kmmk zake nishamjua.
 
Akiwa na zote au mojawapo
 
Duu hatari
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji28]Aseee

Bado tu na mdada umemg'ang'ania mwanaume wa hivi? Haahaaa
 
Duuuuh
 
Mwanaume kuteswa na demu wanajitakia, Mademu wako kibao, wazuri na wanaojielewa, ukishaona dalili moja, unampotezea kiaina.
 
Hapo kwenye gari ondoa mzee😄😄😄 maana ni amusement park ya mimi na shemeji yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…