Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

Unatuma meseji asubuhi inajibiwa usiku saa mbili pamoja na kuagwa usiku mwema,ukipiga simu utasikia Subiri ntakupigia ndo hadi kesho hiyo tena nimtafute Mimi,,Ila akitaka mambo yake natafutwa vizuri kuanzia asubuh na maneno matam nikimpa mzigo nakua tena ghosted!!aisee niliteseka sana mahusiano ya upande mmoja,nikachomoka zangu fasta kabla sijajinyonga 😄
 
Mawasiliano yalipungua,
Nikamkalisha chini tuongee kulikoni, nikajieleza wee lakin, yeye ananijibu eti kila kitu kiko sawa.
Akiwa anashida ananitafuta namsaidia kwa hali na mali.
Ikabidi na mimi nisimtafute, nianze mchakato wa kumuacha.

Siku mbili mbele, nikashika whatsaap chattings zake.(na hata sikujisumbua kumuuliza )

Ikawa ndio byebye.
 
Kuna mmoja nilimpa pipi alambe kidogo baada ya goli la Kwanza, yeye badala ya kuilamba kistaarabu akaing'ata huku akijua kabisa sina pipi nyingine zaidi ya hiyo niliyompa, kimoyo Moyo nikajisemea "amepanga kunimaliza".

Cc realMamy majoto Al-mukheef.
Usirudie kugawa pipi hovyo.... kuna siku utajutraaaa.... shauri yako
 
Tuliambiana goodnite kuwa wote tunalala.
Nikaamua kwenda club.

Kufika namuona mwenzangu anabambiwa kama ana akili mbovu. Kumpigia simu hapokei, nilipotuma msg akanambia hawezi pokea kalala na mama.

Nikaenda alipo nikampa 5 halafu na mimi nikatafuta wa kubambia, maisha yakaendelea.
 
Alianza kuwatukana watoto matusi ya nguoni mbele yangu na maneno ya kashfa hivi plus kunyinwa unyumba nikajua ni Mimi ninaetukanwa!nilimkataza mara nyingi akaendelea!Kumbe alikua na ujenzi wa siri na jamaa yake ndio msimamizi coz nilianza kuona script ziki change yaani namna anavyoishi na mimi ni kama anapata maelekezo toka kulee!nilipogundua ujenzi wa siri aibu ikampata na matusi yakaisha !!kumbe ni hako kanyumba ndio kalimpa kiburi!!!

Sio muumini wa kuachana,Nikampa uhuru aendelee na jamaa yake!Na mimi naendelea na mishe zangu!!
 
Unatuma meseji asubuhi inajibiwa usiku saa mbili pamoja na kuagwa usiku mwema,ukipiga simu utasikia Subiri ntakupigia ndo hadi kesho hiyo tena nimtafute Mimi,,Ila akitaka mambo yake natafutwa vizuri kuanzia asubuh na maneno matam nikimpa mzigo nakua tena ghosted!!aisee niliteseka sana mahusiano ya upande mmoja,nikachomoka zangu fasta kabla sijajinyonga 😄
Mnawatoaga wapi wanaume hao wa ajabu ajabu nyie wanawake? Ebu na nyie jipeni thamani kwanza kha!
 
Back
Top Bottom