Uchaguzi 2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

Wewe unaniita mimi dada unanifahamu?

Sasa huoni kama wewe ndio mpumbavu?
Labda kama wewe ni mwanaume na ulipopewa hii ID na password hapo lumumba hukupewa descriptions z mtumiaji wa kwanza alikua akijitambulishaje hapa!

Hili ndo tatizo la hapo Lumumba unapewa tu password bila kujua aliyewahi itumia hyo ID alikuwaje.

Crimea niliyezoea kumsoma ni mwanamke tena wa daraja ya Chini aliyejaa wivu, husda, chuki na hila ya hali ya juu. Cheki hata avatar inatambulisha Crimea ni mwanamke wa namna gani.

Sorry najua umechukua zamu mpya na mwajiri hajakupa wajihi wa Crimea.
 
Ndio Ubaya wa siasa za kutishia watu.watu kimya unashanga ghafla kura hazitoshi unagomea kuachia madaraka,maji yaliyo tulia ya kina
 
Ndio Ubaya wa siasa za kutishia watu.watu kimya unashanga ghafla kura hazitoshi unagomea kuachia madaraka,maji yaliyo tulia ya kina
Shida wanaamini ktk vyombo vya dola huku Hawajui nguvu ya umma ikiamua dola husambaratika
 
Kwa tume ipi?
 
Hahahahahhahahahhahahahahhahuhuhuhuhuhuuhuhuhihihihihihihiihihihihihiihihihih!!!!!
 
Eti wajihi wa Crimea,nimecheka basi tu,sikupanga hata kucheka mchana huu.
 
Hapo leo CCM wapo busy kuangalia ilani ya Chadema ili wadandie ideas. Kama ile idea ya elimu bure 2015 na wakafanya mpaka Secondary.
 
Hivi wewe Mzee Yusuph umeanza lini kuleta taarabu zako humu?
 
Ubeti vema
 

Hii picha inaelezea kiama kitachoikumba CCM Mpya.

Wenye CCM yao tayari wanajibainisha na Demokrasia na Maendeleo ya Watu ya CHADEMA ndiyo msingi wa taifa lenye furaha na maendeleo ya kweli.
 
Wakilazimisha ushindi mwaka huu tunaingia barabarani wote. Kama vipi watupige risasi wote jumuiya ya kimataifa iamue kama ilivyoamua Ivory Coast.

CCM inaondoka 2020. Kuna kila dalili kuwa CCM inaondoka 2020 na si 2025. Hakuna maendeleo ya kweli ya watu na vitu kwenye Sera za Kijamaa. Hatukitaki Chama cha Mapinduzi. Enough is enough.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…