Uchaguzi 2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

Dah...suala la ajira ni kombora baya sana la kuipiga ccm. Hii hatari sana. Hela za hayo mabombadiya angekopesha vijana wajiajiri...
Tatizo vijana sio wa kuwaamini sikuizi wote wapo CCM wanasifu na kuabudu
 
kuna maneno muhimu sana hukuandika ambalo ni "KWA MTAZAMO WANGU"
KUMBUKA: wewe sio msemaji wa Watanzania wala sio muwakilishi wa kundi flani la watanzania hivyo, ni vizuri uwe unatumia hayo maneno " kwa mtazamo wangu au kwa mawazo yangu"
 
MATAGA shida yako nini
 
lisu atafanyaje atatoa nini?hahahaha tutaelewana tu
 
Hahahahahaha Nyumbu bwana kwa kujifariji hamjambo
 
Yani CCM iende tu khaaaa Mambo mabaya waliyolifanyia taifa yanatosha
 
Hao wanaopost BBC so ndio kundi dogo kabisa ? Au umeamua tu kuhamisha magoli
Ccm walichozingua ni kitendo Cha wajumbe kuwatosa makavu wale waliounga juhudi za muheshimiwa wakitokea upinzani, Hilo swala wanafiki wengi wamejiuliza Kama ni worth it
 
Chapa spana adi akili ziwarudii
 
Kwaio unasema waliopo mitandaoni ni tone tu halafu hapo hapo comments za facebook zinaonesha upepo haupo kwa Lissu?
 
Ccm itaendelea kuongoza tz milele...wapinzani mnarukaruka tu..
 
Mtoa post anaota kabisa siyo bule!
Kama anabisha ngoja tuone.
 
Kweli Mr zero.
 
Kwaio unasema waliopo mitandaoni ni tone tu halafu hapo hapo comments za facebook zinaonesha upepo haupo kwa Lissu?
Research ya mleta mada ime base kwenye mitandao hasa kwenye page za vigogo wa chadema!
Sasa nmemkumbusha research yake iende hadi kule facebook kwenye page za BBC, VOA na Dw aone maoni ya wananchi walio huru wanasemaje juu ya Lisu.

Huwezi kuchukua maoni ya pro chadema kwenye page zao na kusema eti huo ndio mtazamo wa wananchi wote.
 
Naona mnadanganyana
Tundu Lissu ameweka historia katika nchi yetu, watoto wetu na vizazi vijavyo vitasoma habari ya kijana kutoka Singida Mashariki aliyebadili upepo wa siasa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…