Uchaguzi 2020 Dalili zote zinaonesha anga limeikataa CCM

Mnaweza kumponda ninyi hapo mlipo lakini si watanzania wote sawa!
Huku kwetu nderemo na vifijo vilitamalaki jana. Japo hakuna aliyeona habari za Lissu kwenye TV lakini watu walirushiana clips kwenye simu.

Bia zilikwisha grocery ilitulazimu kulala saa saba usiku.
 
Labda anga la wajinga..
 
Vijijini ndio wamekamia kumgoa pombe katika Ziara yangu huko mikoa yakanda ya ziwa nimeshtushwa kaburi la CCM limo wazi
 
Huku kwetu nderemo na vifijo vilitamalaki jana. Japo hakuna aliyeona habari za Lissu kwenye TV lakini watu walirushiana clips kwenye simu.

Bia zilikwisha grocery ilitulazimu kulala saa saba usiku.
teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!!

Huko kwenu kumbe siyo mahala pazuri kama hakuna bia. "...... He was a wise man who invented beer"
 
sjakutana na mtu yoyote mpaka sasa anaesema anaikubali cdm kama sio mtandaoni, na pia kama ni mtandaoni ni jamii forum tu watu wanaocmment ni wale wale
 
Hizi nyuzi zenu bana kabla ya uchaguzi [emoji41]....yaani unaiona ikulu hii hapa ...matokeo yakianza kutangazwa sasa [emoji848] ndio unajua kumbe ikulu si magogoni tena ni chamwino [emoji57]
 
Yajayo yanafurahisha!!!!
Mama angu mpenzi amekufa kwa stroke baada ya kusubiri Mafao ya Ustahafu zaidi ya mwaka.....!!!
Wabunge wa CCM wamevunja Bunge juzi WAMELIPWA MAFAO YAO YOTE kwa kipindi Cha miaka 5 tu Cha Utumishi.
Lakini mtu aliyefanya kaxi miaka 35 bado anasbiri Mafao kwa zaidi ya mwaka...!!
HILI HALIKUBALIKI NA HALIVUMILIKI. JIWE THIS TIME LAZIMA AONESHWE MLANGO WA KUTOKEA IKULU.....!
 
Sasa hapa ut wafanya Ccm wampitishe Sharif Majini. Maana hiki chama kwa wataalam wa giza wako daraja la kwanza
 
Hizi nyuzi zenu bana kabla ya uchaguzi [emoji41]....yaani unaiona ikulu hii hapa ...matokeo yakianza kutangazwa sasa [emoji848] ndio unajua kumbe ikulu si magogoni tena ni chamwino [emoji57]
Mkuu wangu vipi ulishaunga juhudi? Vipi wajumbe huko wamekufanyia ihsani?
 
sjakutana na mtu yoyote mpaka sasa anaesema anaikubali cdm kama sio mtandaoni, na pia kama ni mtandaoni ni jamii forum tu watu wanaocmment ni wale wale
Avatar yako tu inazungumza yote usingepoteza muda wako kuandika huu utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…