Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaiyo kwako mkuu messi na kibu kibu anajua? hakuna mtu anashabikia kitu kibaya mzee kama kweli yanga inacheza vizuri kuliko mamelod nani atashabikia mamelodi ? au al ahly ? wawekeze kwenye mpira huwezi nunua wachezaji wa bure mwenzio anachukua vifaa eti ushabikie vya bure uache kushabikia soka la ukweli hiyo haipo ndugu. kuna watanzania hawafatilii hata ligi ya home ila waulize kubus arsenal man u man city barca madrid watakupa story za tim hizo kanakwamba wanaishi huko kumbe wako kariakoo ilipo simba na yangaKuvaa jezi ya timu ya nje na kwenda kuishangilia hiyo timu, kwa lengo tu la kuikomoa timu ya ndani; kwangu mimi naona ni uwendawazimu/uzwazwa.
Ifikie wakati Watanzania tujitambue ili hata hao wageni nao watuheshimu, badala ya kuendelea kutudharau na kutuona hatuna tofauti na nyumbu.