Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Wanakuwa kama jeshi la iliyo kuwa serikali ya Afghanistan Marekani na Nato nzima wametumia zaidi ya $tirion 4 kupambana na Taliban,kuwapa mafunzo ,kuwa nunulia siraha alafu mwisho wa siku wanaenda kuikabidhi nchi kwa Taliban ndani ya siku mbili tu.
 
Mimi ninavyoona kufikia kesho Waasi watatangaza ushindi kwenye Viwanja vya Umayyad Square ya hapo Damascus kwasababu sasa wamelizunguka Jeshi la Assad lililopo Homs haliwezi tena kwenda kuilinda Damascus.
 
BREAKING NEWS

Waasi wa HTS tayari wamefika kwenye viunga vya mji mkuu wa Damascus. Mapigano makubwa yanaendelea katika mji huo kati ya wapiganaji wa Kishia na waasi wa HTS.

Mda sio mrefu,Rais wa Syria,Bashar Al Asad atalihutubia taifa kuelezea nini kinafuata baada ya waasi hao kuyateka maeneo mengi ya nchi hiyo.

Mataifa kadhaa ya Kiarabu yamemsihi rais huyo kuikimbia nchi na kwenda kuunda Serikali yake uhamishoni.

Rais wa Uturuki,Recep Tayyip Erdogan akiongeà na waandishi wa habari amesema kwamba,Anawatakia mafanikio mema Waasi hao kuelekea Damascus na hatimaye kuiangusha Serikali aliyoiita ni ya Kidikteta chini ya mwamvuli wa mataifa ya Kigeni(Akimaanisha Iran na Urusi).
 
Wanakuwa kama jeshi la iliyo kuwa serikali ya Afghanistan Marekani na Nato nzima wametumia zaidi ya $tirion 4 kupambana na Taliban,kuwapa mafunzo ,kuwa nunulia siraha alafu mwisho wa siku wanaenda kuikabidhi nchi kwa Taliban ndani ya siku mbili tu.
Bora Taliban walikuwa na nguvu kuliko jeshi la Afghanistan hiyo ilionekana wazi hata kabla na kila mwenye uelewa alijua Afghanistan itaanguka ila tu haikujulikana lini. Ikaja kuanguka kwa haraka.

Kwa Syria hawa waasi hawakuwa na nguvu kulishinda jeshi, ni uvivu na kubweteka tu.
 
Assad atabaki kwenye Kichwa chako tu kama Raisi lakini huko Syria Wananchi wamemchoka.
Sawa kwa hio mnamleta kiongozi wa ISIS hapo Syria, nilikuwa nawambia Al Qaeda na ISIS wote ni Western Puppet wanaharibu jina la Uislam kwa amri ya USA.

Huyu USA ndio wanataka awe Rais wa Syria alikuwa Mfuasi wa Al Baghdady afu US anakuambia Al Nusra na ISIS ni magaidi 🤣 Kumbe watu wake.

Mimi siwezi kukubaliana na hizo news mpaa pale nione kweli Assad kapinduliwa, na hicho kitu naona sirahisi. Kila kitu kinawezekana lakini ukweli utajulikana pale Assad katolewa, hivi hivi zitakuwa ni fake news kama kawaida zao Al Jazeera, CNN na BBC


View: https://youtu.be/WQyJeJ-67z8?si=FR3gz4m8YzDy4KO5
 
Mkuu wa Majeshi ya Syria amejitokeza kwenye TV na kupiga mkwara lakini Aljazeera TV imempotezea😆😆😁
 
Sawa kwa hio.mnamleta kiongozi wa ISIS hapo Syria nilikuwa nawambia Al Qaeda na ISIS wote ni Western Puppet wanaharibu jina la Uislam kwa amri ya USA.
Hujui kama Condom huwa inatumika kwa muda muafaka na wakati mwingine huwa inatupwa jalalani.

Nyie Jamaa mna IQ za kunywea Kahawa na kutukana Dini nyingine kuwa ni "Kafiri", Daima hamutawaweza Wazayuni.

Wazayuni ni sio level yenu ni IQ kubwa sana.
 
Hujui kama Condom huwa inatumika muda muafaka na wakati mwingine huwa inatupwa jalalani.

Nyie Jamaa mna IQ za kunywea Kahawa na kutukana Dini nyingine kuwa ni "Kafiri" Daima hamutawaweza Wazayuni.

Wazayuni ni sio level yenu ni IQ kubwa sana.
IQ ya Wazuyuni ni level ya kunyweya Whisky, au labda IQ ya kumtundika Yesu msalabani hahaha, unawaongelea watu wenye kutingisha vichwa vyao kwenye ukuta kama mijusi na watu wanao tegemea kila kitu kutoka USA 😆 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…