Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Assad jeshi lake vipaumbele ilikuwa ni kusaidia biashara haramu ya drugs basi, yeye malengo yake makuu yalikuwa ni kuzuia jeshi lisimpindue.

Kila siku jeshi linafanya retreat alafu linadai linafanya strategic repositioning. Halipigani kutoa upinzani hata kidogo, linakimbia linaacha silaha. Yaani JW ikimbie Arusha, iikimbie Mwanza, ikimbie Tanga, ikimbie Dodoma, Morogoro alafu eti ije kupigania Bagamoyo na Kibaha kuilinda Dar, hii inawezekanaje. Jeshi la kivivu kabisa na maofisa vilaza watupu.

Kuliko kunipa hawa wendawazimu 100,000 wa Assad bora unipe Hezbollah 25,000 nijue moja. Iran imeweka hela, Urusi imeweka hela, Hezbollah damu zimemwagika, Wagner wamekufa, Wakurdi wamejitoa mhanga wote hao kumbe wanapigania mianajeshi mijinga kama mimarioo kila kitu ifanyiwe.

Jeshi la Syria walivyo ng'ombe watupu wao wanataka washinikizwe kupigana, wapewe uhakika wa air support, wapewe support ya Hezbollah, Iran, Russia, etc kwenye ground ndio waende kupigana. Wakishatwaa eneo waachwe walilinde, adui akija wakimbie mbio waache silaha (ambazo nyingine ni za mkopo au msaada) kisha wakiwa mafichoni uko washirika waje kutoa support ndio jeshi lipigane.
Wanakuwa kama jeshi la iliyo kuwa serikali ya Afghanistan Marekani na Nato nzima wametumia zaidi ya $tirion 4 kupambana na Taliban,kuwapa mafunzo ,kuwa nunulia siraha alafu mwisho wa siku wanaenda kuikabidhi nchi kwa Taliban ndani ya siku mbili tu.
 
Mimi ninavyoona kufikia kesho Waasi watatangaza ushindi kwenye Viwanja vya Umayyad Square ya hapo Damascus kwasababu sasa wamelizunguka Jeshi la Assad lililopo Homs haliwezi tena kwenda kuilinda Damascus.
 
BREAKING NEWS

Waasi wa HTS tayari wamefika kwenye viunga vya mji mkuu wa Damascus. Mapigano makubwa yanaendelea katika mji huo kati ya wapiganaji wa Kishia na waasi wa HTS.

Mda sio mrefu,Rais wa Syria,Bashar Al Asad atalihutubia taifa kuelezea nini kinafuata baada ya waasi hao kuyateka maeneo mengi ya nchi hiyo.

Mataifa kadhaa ya Kiarabu yamemsihi rais huyo kuikimbia nchi na kwenda kuunda Serikali yake uhamishoni.

Rais wa Uturuki,Recep Tayyip Erdogan akiongeà na waandishi wa habari amesema kwamba,Anawatakia mafanikio mema Waasi hao kuelekea Damascus na hatimaye kuiangusha Serikali aliyoiita ni ya Kidikteta chini ya mwamvuli wa mataifa ya Kigeni(Akimaanisha Iran na Urusi).
 
Wanakuwa kama jeshi la iliyo kuwa serikali ya Afghanistan Marekani na Nato nzima wametumia zaidi ya $tirion 4 kupambana na Taliban,kuwapa mafunzo ,kuwa nunulia siraha alafu mwisho wa siku wanaenda kuikabidhi nchi kwa Taliban ndani ya siku mbili tu.
Bora Taliban walikuwa na nguvu kuliko jeshi la Afghanistan hiyo ilionekana wazi hata kabla na kila mwenye uelewa alijua Afghanistan itaanguka ila tu haikujulikana lini. Ikaja kuanguka kwa haraka.

Kwa Syria hawa waasi hawakuwa na nguvu kulishinda jeshi, ni uvivu na kubweteka tu.
 
Assad atabaki kwenye Kichwa chako tu kama Raisi lakini huko Syria Wananchi wamemchoka.
Sawa kwa hio mnamleta kiongozi wa ISIS hapo Syria, nilikuwa nawambia Al Qaeda na ISIS wote ni Western Puppet wanaharibu jina la Uislam kwa amri ya USA.

Huyu USA ndio wanataka awe Rais wa Syria alikuwa Mfuasi wa Al Baghdady afu US anakuambia Al Nusra na ISIS ni magaidi 🤣 Kumbe watu wake.

Mimi siwezi kukubaliana na hizo news mpaa pale nione kweli Assad kapinduliwa, na hicho kitu naona sirahisi. Kila kitu kinawezekana lakini ukweli utajulikana pale Assad katolewa, hivi hivi zitakuwa ni fake news kama kawaida zao Al Jazeera, CNN na BBC


View: https://youtu.be/WQyJeJ-67z8?si=FR3gz4m8YzDy4KO5
 
Mkuu wa Majeshi ya Syria amejitokeza kwenye TV na kupiga mkwara lakini Aljazeera TV imempotezea😆😆😁
 
Sawa kwa hio.mnamleta kiongozi wa ISIS hapo Syria nilikuwa nawambia Al Qaeda na ISIS wote ni Western Puppet wanaharibu jina la Uislam kwa amri ya USA.
Hujui kama Condom huwa inatumika kwa muda muafaka na wakati mwingine huwa inatupwa jalalani.

Nyie Jamaa mna IQ za kunywea Kahawa na kutukana Dini nyingine kuwa ni "Kafiri", Daima hamutawaweza Wazayuni.

Wazayuni ni sio level yenu ni IQ kubwa sana.
 
Jolani-1024x612.jpg

Gaidi Mstaafu anaenda kuwa Raisi wa Syria May Allah grant him Jannah...

Kwako Malaria 2 nini maoni yako?!
 
Hujui kama Condom huwa inatumika muda muafaka na wakati mwingine huwa inatupwa jalalani.

Nyie Jamaa mna IQ za kunywea Kahawa na kutukana Dini nyingine kuwa ni "Kafiri" Daima hamutawaweza Wazayuni.

Wazayuni ni sio level yenu ni IQ kubwa sana.
IQ ya Wazuyuni ni level ya kunyweya Whisky, au labda IQ ya kumtundika Yesu msalabani hahaha, unawaongelea watu wenye kutingisha vichwa vyao kwenye ukuta kama mijusi na watu wanao tegemea kila kitu kutoka USA 😆 😂
 
Back
Top Bottom