Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

Naongelea drones za kijeshi za Uturuki.

Drones zilizoiona Moskva ili izamishwe ni TB2, zilizopiga Pantsir air defense systems kule Libya na Syria ni TBT. Drone iliyoona ndege ya Rais ilipoanguka ni Akinci ambayo ina roles kadhaa na silaha inabeba silaha hizi
• Mini Smart Munition MAM-L
• Mini Smart Munition MAM-C
• Cirit Missile
• L-UMTAS Missile
• Mini Smart Munition Bozok
• MK-81, MK-82, MK-83 Guided Bombs (JDAM)
• Wing Assisted Guided Bomb MK-82
• Air-to-Air Missile Gokdogan and Bozdogan
• Cruise and anti-ship missile SOM-A
View attachment 3171458

Bado hao Waturuki walidungua Su-25 ya Urusi bila hofu. Waturuki hao wamewazidi kete Iran na Urusi kwenye suala la Syria. Unawachukulia Waturuki wepesi ila vitendo vyao vinakukatalia.
Naona unaendelea kunilisha maneno ambayo sijasema hakuna sehemu nimewachukulia poa waturuki ila nimekwambia ukweli kule juu ulisemea tb2 drone ghafla naona umebadilika hizo tb2 kama bora sana kwanini kwa sasa hazitumiki tofauti na wale Shaheed wa Iran licha ya Ukraine kujazwa AD karibu zote za west Shaheed zimekua zikilenga malengo na kuyatwanga kila leo tb2 baada ya kufeli kule Ukraine wakaamua kuzikimbiza kama zingekua zina sifa kama unavyo dai zisingetelekezwa na Ukraine mwisho sijailinganisha Iran na uturuki popote zaidi ya kwenye drone za Shaheed na tb2 baasi mpaka sasa dunia nzima imeona ubora wa Shaheed over hizo tb2 na AD za western bisha kwa hoja achana na drone iloona ndege ya rais raisi mie wala sijagusia hilo
 
Kwakweli ukiwa na jeshi la hivi mtihani


🇸🇾❌🇸🇾 — members of the SAA forces in the Mazzeh area in central Damascus exchange their military uniforms for civilian clothes in the middle of the street.
 
Silaha aina ya BM ikiwa na Makombora yake intact ambayo haijapiga hata moja imetelekezwa na Wanajeshi wa Syria Arab Regime na imeingia kwenye mikono ya Waasi wa Kisunni.
 

Damascus falling suburb by suburb to rebels, US official tells CBSpublished at 15:58
15:58BREAKING​


An unnamed US official has told the BBC's US partner, CBS News, that Damascus appears to be "falling suburb by suburb to the rebels", as fighters opposed to the Assad regime progress along the main road to the Syrian capital.

As we have already mentioned, a video appears to show a statue being torn down by protesters in a southern suburb of Damascus, while fighting is taking place in Syria's third-largest city Homs.

However, the Syrian government denies the rebel takeover in the capital and says that President Bashar al-Assad has not fled the city.
BBC
 
😃😃😃 Ni kweli kabisa nadhani hata washirika wamekatishwa tamaa na morali ndogo ya wanajeshi wa Syria.
Urusi na Iran wametumia mabilion ya$ kukukombolea ardhi yako alafu leo hii unakuja kuyaachia tena kirahisi kabisa,kwakweli hata kama ni ww ni lazima upate hasira.
Jana mashambulizi ya drone ya Iran kwa kiasi fulani yali waliwapunguzia sipidi ya kuiteka Homs ila bado majamaa yako ngangali na Homs ikianguka kuoteka Dumasikas ni kama kunywa maji.
Assad jeshi lake vipaumbele ilikuwa ni kusaidia biashara haramu ya drugs basi, yeye malengo yake makuu yalikuwa ni kuzuia jeshi lisimpindue.

Kila siku jeshi linafanya retreat alafu linadai linafanya strategic repositioning. Halipigani kutoa upinzani hata kidogo, linakimbia linaacha silaha. Yaani JW ikimbie Arusha, iikimbie Mwanza, ikimbie Tanga, ikimbie Dodoma, Morogoro alafu eti ije kupigania Bagamoyo na Kibaha kuilinda Dar, hii inawezekanaje. Jeshi la kivivu kabisa na maofisa vilaza watupu.

Kuliko kunipa hawa wendawazimu 100,000 wa Assad bora unipe Hezbollah 25,000 nijue moja. Iran imeweka hela, Urusi imeweka hela, Hezbollah damu zimemwagika, Wagner wamekufa, Wakurdi wamejitoa mhanga wote hao kumbe wanapigania mianajeshi mijinga kama mimarioo kila kitu ifanyiwe.

Jeshi la Syria walivyo ng'ombe watupu wao wanataka washinikizwe kupigana, wapewe uhakika wa air support, wapewe support ya Hezbollah, Iran, Russia, etc kwenye ground ndio waende kupigana. Wakishatwaa eneo waachwe walilinde, adui akija wakimbie mbio waache silaha (ambazo nyingine ni za mkopo au msaada) kisha wakiwa mafichoni uko washirika waje kutoa support ndio jeshi lipigane.
 
Uwanja umeinama naungana na ITR Assad asipotoka mara hii hatakaa atoke tena na waasi wakimshindwa mara hii hawatakaa wamuweze tena ila mpaka sasa sijatupa taulo kwa Assad ingawaje kimsingi yupo na hali tete
Hahahahaa leo nakuunga mkono umeongea uhalisia. Achana na jews jombaa. Wamemlia timing wakati mrusi yuko bize na Ukraine na hezbollah kachapika wakajua jamaa hana wa kumsaidia. Iran kaja na mikwara wapi.
 
Wajeshi ya Serikali yanavua Camouflage uniform za Jeshi la Syria Arab Republic halafu wanavaa nguo za Kiraia na Silaha wanaziacha na kuzitelekeza.

Hizi silaha zikiingia kwenye mikono ya raia si itakuwa hatari sana?
 
Naona unaendelea kunilisha maneno ambayo sijasema hakuna sehemu nimewachukulia poa waturuki ila nimekwambia ukweli kule juu ulisemea tb2 drone ghafla naona umebadilika hizo tb2 kama bora sana kwanini kwa sasa hazitumiki tofauti na wale Shaheed wa Iran
Shaheed zinatumika kwa wingi kwa sababu Urusi ilipewa licence production yake na Iran, na kabla ya hapo Urusi ilizinunua nyingi sana. Ukraine haina hela nyingi kununua TB2 nyingi.
licha ya Ukraine kujazwa AD karibu zote za west Shaheed zimekua zikilenga malengo na kuyatwanga kila leo tb2 baada ya kufeli kule Ukraine wakaamua kuzikimbiza kama zingekua zina sifa kama unavyo dai zisingetelekezwa na Ukraine
TB2 nimekuelezea na matumizi yake

•Kuvamia Snake island zilitumika kushambulia sehemu ina AD systems za Urusi na video zipo ukibisha nazileta.
•TB2 ilitumika kuiona Moskva cruiser ndio ikazamishwa
•TB2 zimetumika na vikosi vya serikali ya Libya dhidi ya Khalifa Haftar, zimepiga Pantsir AD za Urusi. Evidence zipo
•Uturuki ina videos nyingi ambapo TB2 zinashambulia mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi kule Kaskazini mwa Syria.
•Azerbaijan ilizitumia TB2 kwenye Nagorno-Karabakh na ikapiga AD systems za Armenia zilizoundwa Urusi. Videos zipo
mwisho sijailinganisha Iran na uturuki popote zaidi ya kwenye drone za Shaheed na tb2 baasi mpaka sasa dunia nzima imeona ubora wa Shaheed over hizo tb2 na AD za western bisha kwa hoja achana na drone iloona ndege ya rais raisi mie wala sijagusia hilo
Shaheed na TB2 haviendani hizo sio drones sawa. Ila overral kwenye drone tech Iran ni mtoto mdogo sana mbele ya Uturuki, ndio maana Iran ilikaa siku mbili bila kumuona Rais wao kaanguka wapi, Uturuki ikatumia masaa mawili. Iran hana drone ambayo Uturuki hana, Uturuki ina drones ambazo Iran hana.

Ni hivi, Iran iliiomba Uturuki ilete drone yake kumtafuta Rais wao.
 
Back
Top Bottom