Dan Friedkin mmiliki wa AS Roma anamiliki ardhi kubwa Tanzania, mamlaka zimchunguze

Game reserve sio "KITALU CHA UWINDAJI" ni PORI LA AKIBA ila ndani yake panaweza kuwa na vitalu kwaajili ya kuwinda.
 
Ni unafiki kuukata uraia pacha ilhali tunaruhusu mgeni kuja kumiliki ardhi ambayo tunajua kikatiba haruhusiwi
Na siku tutakapouacha huo unafiki wa kukataa uraia pacha Nina uhakika kuna sehemu nzuri nchi itafikia kimaendeleo
 
Umesahau kuwa hata shetani ana watetezi wake?

Tujue huyo mlami kazipatajrle zote hizo? Kwa nini amilikishwe na siyo kukodishwa?
Na wewe unaamini kwamba mtu kamilikishwa game reserve?

Msichokijuwa hilo lingekuwa linawezekana Rostam Aziz ndio angemiliki game reserve kubwa maana ana kampuni ya uwindaji inaitwa Miombo Safari ipo Masaki inasimamiwa na Mdogo wake na Mzungu mmoja anaitwa Michelle
 
Ni unafiki kuukata uraia pacha ilhali tunaruhusu mgeni kuja kumiliki ardhi ambayo tunajua kikatiba haruhusiwi
Na siku tutakapouacha huo unafiki wa kukataa uraia pacha Nina uhakika kuna sehemu nzuri nchi itafikia kimaendeleo
Usikubali kulishwa matakataka, usiamini kila unachosikia au kukisoma, Chuja.
 
Sheri ipi? Hawa wanakodishiwa kwa miaka 99, huyu amebakiza miaka kama 98 na hio aridhi, ndio maana na yeye ana kodisha au kubinasifisha tena kwa pesa ndefu kuliko alivyo kodishiwa yeye
hapa ebu tuwekane sawa neno kubinafsisha na kukodisha yako sawa au mm tu napata shida kuyaelewa.ufafanuzi japo kidogo.
 
Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.

Hao hawana uzalendo kabisa.

Wanagawa mali za Tanganyika kama pipi.

Hawana madini Wala wanyama.

Tuwe makini nao.
Yanejirudia ya Mwinyi.
Marais toka Zanzibar na Pwani ni wadhaifu sana
 
Tatizo kubwa ni finance security nchi yetu haina muendelezo wa economic stability anything can happen at any time.
 
Wakikuta Bangi ni Mali Yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sheri ipi? Hawa wanakodishiwa kwa miaka 99, huyu amebakiza miaka kama 98 na hio aridhi, ndio maana na yeye ana kodisha au kubinasifisha tena kwa pesa ndefu kuliko alivyo kodishiwa yeye
Hakuna upunguani viongozi wa nchi hii wanafanya kama huu, unammilikisha mgeni ardhi umri wa kupata hadi vitukuu......huyo mgeni ana privileges zaidi ya wananchi wazawa ambao kumiliki hata ekari tano ni mtihani huku wengine kule loliondo wakifurushwa kimabavu kumpisha mgeni aliyepewa jina la mwekezaji.
 
shida n kwamba wenye nchi tuko tunakimbizana na mechi za mpira, mambo ya kuigiza tu bila kujua kuwa tunaliwa huku tuko kimya tubaki kuwa waoga wa nchi yetu yaani mambo mparaganyiko tu
Inasikitisha sana
 
Never again Rais wa Jamhuri atoke Zanzibar.

Hao hawana uzalendo kabisa.

Wanagawa mali za Tanganyika kama pipi.

Hawana madini Wala wanyama.

Tuwe makini nao.
Wewe ni nani iwe kauli yako juu ya watanzania sote tena kwa ukali na ulazima huo ?!!!!.


Acha upopoma na chuki za kihobobo mzee.......

Hwenda mjomba wako alimchukia Mh.Mzee Mwinyi na kuapa hivyo ulivyotuapia.....na leo yuko mzanzibari mwingine.....ni sawa na wale wanaotuapiza kuwa kanda ya ziwa haitotoa tena Rais.....ujinga mtupu.....

Tanzania ipo hata baada ya sisi kufa....

N.B TANGANYIKA ni mfu haifufuki

#SiempreJMT[emoji120]
 
Hakufuata utaratibu ?!!!

Tuache kupayuka hovyo......hata raia hawezi tu kujimilikisha/kumilikishwa ardhi kubwa kinyume na utaratibu.....akifuata utaratibu huwa hakuna KOSA.....

Nchi yetu iko makini mno katika mambo yahusuyo ardhi......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…