Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

Slaa kumtweza na Kumbagaza Mbowe ni haki yake?? Ingekua mimi ningemsokomeza kabisa kijinga cha moto mzee baradhuli sana yule.
Uyo ndio Dk Slaa mzee wa nchi aitotawalika!!!! sasa kawa mdogo ndevu zimekuwa nyeupe!!
Mzee wa nimepokea taharifa nyeti sana!!!! Sijui wahuni gani walimlisha matango pori uyu Babu yetu.!!
 
Slaa ameipigania sana hii nchi. Kelele zake kuhusu bandari, misitu, Ngorongoro kuuzwa zilisaidia kupunguza kasi ya hawa wahuni kuuza nchi. Ndiyo maana anakomolewa na kuteswa sasa. Ndio sababu ya kuvuliwa ubalozi.

Alikuja na list ya mafisadi papa kuwataja hadharani ilisaidia kupunguza ufisadi. Ndiye aliyewalea vijana wengi tu Chadema. Mchango wake ni mkubwa Chadema na Tanzania kwa ujumla.

Ndiye aliyekuwa na intellectual brain ya sera za Chadema kupinga ufisadi iliyowapatia umaarufu mkubwa. Bila mchango wake ingechukua miaka mingi Chadema kufika illipofika.

Kwanini usikie raha mzalendo kama huyu kuteswa?
Nasikia raaaaha utamu.
 
Ndio maana naqaona Upinzani wengi hawajajiandaa kuchukua nchi ikiwa watu ni sampuli yako. Siasa kwako ni Mbowe. Fogofu
Slaa kaingia kwenye 18 na kale kamdomo natamani nikakafyeke!! We unasikia raha alivyokua akiwabagaza wenziwe?? Acha akipate shwaini!
 
Kwako Mbowe hana makandokando.
Mbowe kamdhalilisha nani? Watanzania mmejaa uchawi sana ndo maana mnafurahia tabia za kishenzi za akina Slaa na Lissu!! Huwezi. Kuwapakazia tu watu na kuvunja heshima zao kwa maslahi na tamaa tu binafsi!!

Kwa hatua ya rufaa ni wazi Slaa atanyea ndoo miaka 5 mbele ndo maana Madeleka kaomba Maridhiano….

Vipi kamanda huingii barabarani kwenda kumtoa maana Mbowe alikua lege lege sana!!

Na huyo Lissu akijichanganya tu watu watanyonya usaha ule uliojaa tumboni

CC Tindo
 
MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa madai kuwa kuna changamoto ya magari.

Hatua hiyo imekuja siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri linalomhusu Dkt. Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.

MADELEKA: NAMPONGEZA DPP KWA KUTUMIA SHERIA VIBAYA KUKANDAMIZA WATU

Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wanahabari ametoa maoni kuhusu utendaji wa taasisi kadhaa ikiwemo utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) pamoja na kumtaja Steven Wasira ambaye ni Makamu Mwenyekiti Bara.

Amesema hayo wakati akizungumzia mwendelezo wa Shauri la jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 lililofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa.

Pia soma ~ Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri
Ukiwa na viongozi wapumbavu ,wanafikili nafasi za uongozi ni mali ya ukoo wao. Hawajui kuwa wanayofanyiya wengine ni urithi wanao wachia watoto na wajukuu wao. Maana atakaye kuwa kwenye hiyo nafasi hata juwa kuwa Samia alikuwa raisi.
 
Kwa hatua ya rufaa ni wazi Slaa atanyea ndoo miaka 5 mbele ndo maana Madeleka kaomba Maridhiano….

Vipi kamanda huingii barabarani kwenda kumtoa maana Mbowe alikua lege lege sana!!

Na huyo Lissu akijichanganya tu watu watanyonya usaha ule uliojaa tumboni
Wewe umejaa chuki dhidi ya Slaa na Lissu .

Hao unaowafurahia kwa kuwatesa wapinzani wao hata wewe watakugeuka siku moja.
 
Siyo jukumu la DPP kumpeleka mahabusu mahakamani unamlaumu vipi DPP
 
Wewe umejaa chuki dhidi ya Slaa na Lissu .

Hao unaowafurahia kwa kuwatesa wapinzani wao hata wewe watakugeuka siku moja.
Slaa hateswi analipia gharama ya matendo yake!! Ulitaka amdhalilishe mbowe tufurahi sio???

Lissu kapata uenyekiti baada ya harassment kubwa sana kwa Mbowe! Now aingie barabarani sasa kumchomoa Slaa
 
Kama alivyo mtesa Mbowe kwa kesi ya ugaidi
Mbowe alipewa kesi ya ugaidi. Cha kushangaza alipotoka gerezani akaibukia ikulu na kubadilisha suti hukohuko. Baada ya hapo akaanza kumsifia na kumpa tuzo mama na akaja na sera yake ya maridhiano wakati bandari, misitu, ngorongoro, nchi inapigwa mnada.

Hapo ndipo alipopoteza credibility yake. Wakati yupo jela alipiganiwa na Watanzania wengi. Mchawi siyo Slaa.
 
Nani kakuambia Slaa Mchawi?
Acha kudandia treni kwa mbele!!
 
MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa madai kuwa kuna changamoto ya magari.

Hatua hiyo imekuja siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri linalomhusu Dkt. Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.

MADELEKA: NAMPONGEZA DPP KWA KUTUMIA SHERIA VIBAYA KUKANDAMIZA WATU

Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wanahabari ametoa maoni kuhusu utendaji wa taasisi kadhaa ikiwemo utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) pamoja na kumtaja Steven Wasira ambaye ni Makamu Mwenyekiti Bara.

Amesema hayo wakati akizungumzia mwendelezo wa Shauri la jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 lililofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa.

Pia soma ~ Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri

Tukisema mahakama nazo zimekuwa za kichawa mnatakiwa kukubali
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
 
Tumeona kesi nyingi kama hizo hapo mwanzo ambapo kisheria mtu anashikiriwa kwa kuvunja sheria flani na wanao mshikiria nao wanavunja sheria hiyo hiyo kwa kutotoa dhamana kwenye kesi ambayo inadhamana kisheria unakuta hata wanajaribu kutafuta visingizio visingizio ili kuendelea kuwanyanyasa watanzania maskini mara sijui gari bovu, sijui nini hii ni dalili ya rushwa kwenye hizi kesi ni za kihuni.

ni wazi hapa kwenye hizi kesi zinazoendelea kwenye nchi yetu ni za kihuni hii haileti picha nzuri hapana tunahitaji madaliko.
 
Back
Top Bottom