Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alivyo mtesa Mbowe kwa kesi ya ugaidiHizi danadana ninmkakati wa SSH kumtesa, kumkomoa na kuharibu afya yake. Visasi, roho mbaya, ubabe, kutofuata sheria.
Uyo ndio Dk Slaa mzee wa nchi aitotawalika!!!! sasa kawa mdogo ndevu zimekuwa nyeupe!!Slaa kumtweza na Kumbagaza Mbowe ni haki yake?? Ingekua mimi ningemsokomeza kabisa kijinga cha moto mzee baradhuli sana yule.
Wameonea wamkomoe. Hakuna gari la Magereza kumleta Mahakamani. Ni mambo ya kipuuzi tu ambayo hata sisi CCM wengine tunaona ni utoto na kudhalilishana.Mahabusu huletwa na nani mahakamani?
Nasikia raaaaha utamu.Slaa ameipigania sana hii nchi. Kelele zake kuhusu bandari, misitu, Ngorongoro kuuzwa zilisaidia kupunguza kasi ya hawa wahuni kuuza nchi. Ndiyo maana anakomolewa na kuteswa sasa. Ndio sababu ya kuvuliwa ubalozi.
Alikuja na list ya mafisadi papa kuwataja hadharani ilisaidia kupunguza ufisadi. Ndiye aliyewalea vijana wengi tu Chadema. Mchango wake ni mkubwa Chadema na Tanzania kwa ujumla.
Ndiye aliyekuwa na intellectual brain ya sera za Chadema kupinga ufisadi iliyowapatia umaarufu mkubwa. Bila mchango wake ingechukua miaka mingi Chadema kufika illipofika.
Kwanini usikie raha mzalendo kama huyu kuteswa?
Ndio maana naqaona Upinzani wengi hawajajiandaa kuchukua nchi ikiwa watu ni sampuli yako. Siasa kwako ni Mbowe. FogofuSlaa kumtweza na Kumbagaza Mbowe ni haki yake?? Ingekua mimi ningemsokomeza kabisa kijinga cha moto mzee baradhuli sana yule.
Slaa kaingia kwenye 18 na kale kamdomo natamani nikakafyeke!! We unasikia raha alivyokua akiwabagaza wenziwe?? Acha akipate shwaini!Ndio maana naqaona Upinzani wengi hawajajiandaa kuchukua nchi ikiwa watu ni sampuli yako. Siasa kwako ni Mbowe. Fogofu
Kwako Mbowe hana makandokando.Slaa kumtweza na Kumbagaza Mbowe ni haki yake?? Ingekua mimi ningemsokomeza kabisa kijinga cha moto mzee baradhuli sana yule.
Mbowe kamdhalilisha nani? Watanzania mmejaa uchawi sana ndo maana mnafurahia tabia za kishenzi za akina Slaa na Lissu!! Huwezi. Kuwapakazia tu watu na kuvunja heshima zao kwa maslahi na tamaa tu binafsi!!Kwako Mbowe hana makandokando.
Ukiwa na viongozi wapumbavu ,wanafikili nafasi za uongozi ni mali ya ukoo wao. Hawajui kuwa wanayofanyiya wengine ni urithi wanao wachia watoto na wajukuu wao. Maana atakaye kuwa kwenye hiyo nafasi hata juwa kuwa Samia alikuwa raisi.MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa madai kuwa kuna changamoto ya magari.
Hatua hiyo imekuja siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri linalomhusu Dkt. Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.
MADELEKA: NAMPONGEZA DPP KWA KUTUMIA SHERIA VIBAYA KUKANDAMIZA WATU
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wanahabari ametoa maoni kuhusu utendaji wa taasisi kadhaa ikiwemo utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) pamoja na kumtaja Steven Wasira ambaye ni Makamu Mwenyekiti Bara.
Amesema hayo wakati akizungumzia mwendelezo wa Shauri la jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 lililofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa.
Pia soma ~ Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri
Wewe umejaa chuki dhidi ya Slaa na Lissu .Kwa hatua ya rufaa ni wazi Slaa atanyea ndoo miaka 5 mbele ndo maana Madeleka kaomba Maridhiano….
Vipi kamanda huingii barabarani kwenda kumtoa maana Mbowe alikua lege lege sana!!
Na huyo Lissu akijichanganya tu watu watanyonya usaha ule uliojaa tumboni
Slaa hateswi analipia gharama ya matendo yake!! Ulitaka amdhalilishe mbowe tufurahi sio???Wewe umejaa chuki dhidi ya Slaa na Lissu .
Hao unaowafurahia kwa kuwatesa wapinzani wao hata wewe watakugeuka siku moja.
Mbowe alipewa kesi ya ugaidi. Cha kushangaza alipotoka gerezani akaibukia ikulu na kubadilisha suti hukohuko. Baada ya hapo akaanza kumsifia na kumpa tuzo mama na akaja na sera yake ya maridhiano wakati bandari, misitu, ngorongoro, nchi inapigwa mnada.Kama alivyo mtesa Mbowe kwa kesi ya ugaidi
Nani kakuambia Slaa Mchawi?Mbowe alipewa kesi ya ugaidi. Cha kushangaza alipotoka gerezani akaibukia ikulu na kubadilisha suti hukohuko. Baada ya hapo akaanza kumsifia na kumpa tuzo mama na akaja na sera yake ya maridhiano wakati bandari, misitu, ngorongoro, nchi inapigwa mnada.
Hapo ndipo alipopoteza credibility yake. Wakati yupo jela alipiganiwa na Watanzania wengi. Mchawi siyo Slaa.
MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA
DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa madai kuwa kuna changamoto ya magari.
Hatua hiyo imekuja siku moja baada Mahakama Kuu Tanzania, Masijala Kuu Dar es Salaam kuagiza shauri linalomhusu Dkt. Slaa lirejeshwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwaajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.
MADELEKA: NAMPONGEZA DPP KWA KUTUMIA SHERIA VIBAYA KUKANDAMIZA WATU
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wanahabari ametoa maoni kuhusu utendaji wa taasisi kadhaa ikiwemo utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) pamoja na kumtaja Steven Wasira ambaye ni Makamu Mwenyekiti Bara.
Amesema hayo wakati akizungumzia mwendelezo wa Shauri la jinai Namba 993 ya Mwaka 2025 lililofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa.
Pia soma ~ Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri
Natia msisitizoTatizo ni shetani la kizanzibari