Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Mpuuzi wewe acha kuongea na mimi kama vile tunalingana, ujui music business ikoje alafu unaandika vitu mbumbumbu sijui kukata mauno sijui nini i'm so disappointed alafu unaniita dogo mpuuzi weweKwamba akina kukata mauno lwenye ziara ya tulia hapa Mbeya anapewa pesa nyingi hivyo?
Acha uzwazwa dogo Nifahamuvyo, usiamini sana picha za watu wanazoweka nitandaoni. Nyingi wanaenda kupigia kwa watu ili wajidanganye na kuwadanganya maboya kama nyie.
Hana pesa yoyote huyo dogo, ni maskini mwenzako tu sawa na mimi muuza madafu na maisha hayapo hivyo.
Kwamba anatoa hitsong kali ambazo hazipo hata top 10 ya bongo achilia mbali billboard chaap! Anavuta mabilioni 😀😀😀 hatari, komasava ya diamond mwenyewe hajapata hiyoMnaosema dogo hajui mziki sikilizeni hizi, dogo ana swagga na vibe la hatari
Angalia interview zakeUna uhakika izo mali anamiliki au kakodisha Mzee.
Nakazia kwenye wivuUmezunguka sana, ila kinachokusumbua ni :
wivu
mtu asiyependa mwingine apate mafanikio; mtu mwenye kijicho
Hali iliyokufanya uwe na:
chuki
tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya
Nb: Nipe uhusiano wa kufanya kazi muda mrefu na mafanikio. Mfano kuna mchezaji alicheza yanga miaka kumi iliyopita, halafu kuna mchezaji anacheza yanga mwaka wa tatu sasa.
Nb: Bado unaamini kuwa na umri mkubwa ndiyo mafanikio?? Linganisha dunia yako na dunia ya sasa, unaona ipi ina fursa zaidi?
Nb: Kuna nyakati huamua nini kifanyike coz ndiyo kinahitajika kwa wakati huo. Mfano Elon Musk na Mark Zuckerberg utajiri wao umepaa haraka sana kulingana na nyakati!
Kwa hiyo hii ndiyo hitsong dogo kavuta bilioni chaaap!Nakazia kwenye wivu
View attachment 3126888
SawaNimemjua kupitia utajiri na kujinasibu mitandaoni, kufuatilia kumbe ni dancer. Alafu kujulikana sio kigezo cha utajiri
Sikubaliani na weweJambo la msingi ni kupongeza kila juhudi za mtu
Acha mbwembwe dogo.Mpuuzi wewe acha kuongea na mimi kama vile tunalingana, ujui music business ikoje alafu unaandika vitu mbumbumbu sijui kukata mauno sijui nini i'm so disappointed alafu unaniita dogo mpuuzi wewe
Sawa sawaAcha mbwembwe dogo.
Hizo show hadi 6 za wikiendi anazolipwa milioni 7 zinafanyika wapi? Hukuhuku Matunda bar, kwetu pazuri lounge, kitambaa cheupe? Au zinafanyikia wapi huko wenye uwezo wa kumpa milioni 7 per night?? Mbona hatumwoni? Kwamba jamaa anapiga show za gharama zaidi ya Rayvanny, Jay melody tena kila siku?Jamaa anapiga mkwanjwa wa shows na endorsement ,ingekuwa ana safari za BONDENI tungesema MAPOOOODAAA ila haendi BONDENI siku hizi.
Muziki unalipa ukitoboa,jamaa anaokota pesa nyingi sana kwenye shows ,ijumaa hadi j2 anapiga shows hadi 6 na show moja ni 5m hadi 7m.....Means kwa Mwezi anamake around 150m hapo ni shows tu ,halafu kila mwezi analamba hela za endorsements ,hiyo nyumba siyo yake ,kununua makochi na TVs za ndani na hayo MAPIRA anaweza vizuri tu.
Hizo Range zake hazizidi 80 kwa hizo mbili ni akijibana miezi mitatu ananunua fresh tu,.
Katika utafutaji kila mtu na nyota yake, hata ukiwa bodaboda kijiweni kuna anayerudi na laki karibia kila siku maana kuna watu wanampa dili la maana na anaaminika lakini wengine hata elfu 10 ya bosi inakuwa kipengele.Hizo show hadi 6 za wikiendi anazolipwa milioni 7 zinafanyika wapi? Hukuhuku Matunda bar, kwetu pazuri lounge, kitambaa cheupe? Au zinafanyikia wapi huko wenye uwezo wa kumpa milioni 7 per night?? Mbona hatumwoni? Kwamba jamaa anapiga show za gharama zaidi ya Rayvanny, Jay melody tena kila siku?
Hizo show hadi 6 za wikiendi anazolipwa milioni 7 zinafanyika wapi? Hukuhuku Matunda bar, kwetu pazuri lounge, kitambaa cheupe? Au zinafanyikia wapi huko wenye uwezo wa kumpa milioni 7 per night?? Mbona hatumwoni? Kwamba jamaa anapiga show za gharama zaidi ya Rayvanny, Jay melody tena kila siku?