Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku

Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya​

Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko Dangote, aliyethibitisha mpango wa kujenga kiwanda cha mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Awali, mradi huo ulipangwa kujengwa kwenye Bandari ya Tanga nchini Tanzania, kabla ya kampuni hiyo kubadilisha mwelekeo na kuhamishia nia yake nchini Kenya.

Makamu wa Rais wa Dangote anayeshughulikia Kitengo cha Mafuta na Gesi, Devakumar Edwin, altangaza mpango huo wakati wa ziara ya ujumbe kutoka shirika la taifa la mafuta la Jamhuri ya Congo, waliotembelea mtambo wa Dangote uliopo Lekki, Lagos.

Edwin alibainisha kuwa kiwanda cha sasa cha Nigeria kitakuwa na uwezo wa kuchakata pipa milioni 1.4 kwa siku, huku mtambo mpya uliopangwa kujengwa nchini Kenya ukiongeza pipa nyingine 700,000.

"Uwekezaji huu utafanya uwezo wa jumla wa usafishaji mafuta wa kampuni ya Dangote kufikia pipa milioni 2.1 kwa siku," alisema Edwin

===================

Dangote Industries Limited (DIL) plans to develop a 700,000-barrel-per-day oil refinery in Kenya as part of its wider expansion across Africa’s energy sector.

The proposed facility will supply refined fuel to Kenya and other East African markets, supporting efforts to strengthen regional energy security and reduce dependence on imported petroleum products.

Devakumar Edwin, Group Vice President for Oil and Gas at Dangote Industries, announced the planned capacity during a visit by a delegation from the Republic of the Congo’s national oil company to the Dangote Petroleum Refinery in Lagos on 1 July.

Edwin said Dangote’s Nigerian refining operations would process 1.4 million barrels per day, while the planned Kenyan facility would add a further 700,000 barrels per day.

Together, the developments would increase the group’s combined refining capacity to 2.1 million barrels per day.

The project follows earlier comments by Aliko Dangote, President of Dangote Group, confirming plans to develop a new oil refinery in East Africa. The facility was initially proposed for the Port of Tanga in Tanzania, before the company shifted its attention to Kenya.a

Source: Oil and Gas, Business Insider, Channels TV

Tukiwa tunawambeleza wawekeze, tunakuwa wastaarabu sana. TRa wakija na zile hesabu zao za kodi, sijuk wanazitoa wapi, wawekezaji serious wanaanza kuogopa.

Kama tunataka kuwa na wawekezaji imara, mifumo yetu ya biashara na ya kikodi lazima iheshimu na kuhakikisha wawekezaji wanalipa wanachostahili kulipa.

Kama ni kweli anaenda Kenya, Dangote anajua kwanini amekimbilia Kenya. Hata hivyo si bado tunae mama Dangote naye si awekeze? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tanganyika rushwa mno!! Mnajisaulisha kwenye makaa ya mawe kule mtwara?.
Kazi ni kipimo cha utu
Ubabaishaji unaofanywa na baadhi ya watu tena kwenye ofisi kubwa, huwa unakatisha sana tamaaa. Na hasa namna ya kodi zinavyo kadiriwa na kulazimisha zilipwe
 
angalia mavazi peke yake, alipokutana na Ruto alivaa kama business man kuanzia kiatu mpaka business suit vs tanzagiza kavaa kanzu na sneakers kama anaenda msikitini, inakwambia kila kitu.

a picture is worth a thousand words ...
View attachment 3624264

vs

View attachment 3624267
Mkuu 'Kijakazi' unamambo kweli!
Sasa nani atabisha juu ya hili uliloweka hapa.

Na wala haliishii kwenye mavazi pekee.
Tazama kilichomo ndani ya kichwa cha mtu anayekwenda kuonwa.

Unajiandaa barabara kufuatana na umjuavyo huyo mtu.
 
Okay, ni vigumu kujua wenye hisa kubwa kwenye haya mafuta ya kutoka Uganda (yaani wafaransa) wao walitaka wese ghafi liende wapi! Kwa Bongo japo kweli kuikosa hii refinery inauma lakini kwa bahati nzuri zipo dalili nzuri za kupata wese letu bonde la ziwa Eyasi kule Manyara na hata Mkoani Rukwa. Nadhani sasa kwa vile hii refinery ya Dangote haipo tena humu Bongo ina maana hatutazuilika kuuza mafuta yetu ghafi popote (incase tukiyapata) ili tusiikwaze ya Mkuu Dangote basi serikali sasa ijiandae kuwa na refinery zake (Eyasi & Rukwa) hata kama ni ndogo ili kukidhi hitaji letu na kuuza kwa majirani zetu. Tukijaliwa kupata mafuta hamna haja ya kuyaingiza kwenye hii pipe ya kutoka Uganda.
 
Kila la kheri kwake kama mfanyabiashara, Tanzania bado tunaweza kuanzisha kwa ushirikiano na china bila waswasi kabisa,uwezo tunao,nguvu tunazo,mikono tunayo!,
Energy nzuri ya kusafishia mafuta ambayo ni gas tunayo what next? Ni maamuzi tu....
Hivi ninyi kenge wa mama ndio kusema hamna akili hata moja? Yaani mradi mkubwa na muhimu kama huu kwa taifa unaubeza? Ukiachilia idadi ya ajira tulizopoteza nafuu ya mafuta kwa watanzania ingekuwaje? Hakika nchi hii imelaaniwa kuongozwa na watu wa aina hii
 
Hata kama ningekuwa mimi Dangote, ningeenda Kenya. Hii bongo mahakama ya usuruhishi wa biashara haipo huru; Tanzania ndio sehemu mahakama inapewa "memo" na haki hako hupati. Bongo janja janja kibao.
 
Mkuu 'Kijakazi' unamambo kweli!
Sasa nani atabisha juu ya hili uliloweka hapa.

Na wala haliishii kwenye mavazi pekee.
Tazama kilichomo ndani ya kichwa cha mtu anayekwenda kuonwa.

Unajiandaa barabara kufuatana na umjuavyo huyo mtu.

Mkuu 'Kijakazi' unamambo kweli!
Sasa nani atabisha juu ya hili uliloweka hapa.

Na wala haliishii kwenye mavazi pekee.
Tazama kilichomo ndani ya kichwa cha mtu anayekwenda kuonwa.

Unajiandaa barabara kufuatana na umjuavyo huyo mtu.

kwanza binafsi naamini kabisa hata hili bomba la mafuta ktk ug mpaka tanga, kama hii regime ya leo ndiyo ingehusika kwenye negotiation za mwanzoni siajabu hata tungelikosa na lingekwenda mombasa, sema kama ilivyo kawaida wamekuja wamekuta Christians walishapiga kazi, walishafanya kila kitu, negotiations zilishaisha na tukashinda na kulipata bomba, lkn credits kama kawaida yao wanazichukuwa wao igawaje hawana input yoyote ya maana kwenye kazi ...
 
Ngoja tutumie resources kwa ajili ya kuzuia maandamano,halafu uchumi ukiwa chali kifo cha mende
 
Kwahiyo katuacha yatima kwasababu ya mdomo wa mama
Ile siku yule mama alipomsuta Ruto mbele ya hadhara ilikuwa mbaya sana kwa kweli.
Pia wao ndiyo wamiliki wa petro station zote watakubali uwekezaji unaotishia biashara zao?
 
Kwahiyo katuacha yatima kwasababu ya mdomo wa mama
Sasa kama alisema kuwa wao wanapanga wajenge Tanga bila kumshirikisha ulitaka wafanyaje? Kuna mida mambo ya kujiropokea mtu kama yupo chumbani na mumewe sio mazuri kwa mustakabari wa nchi. Haya a very big investment imeyeyuka alafu bado wanajinasibu kuwa wanafungua nchi🙌
 
Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku

Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya​

Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko Dangote, aliyethibitisha mpango wa kujenga kiwanda cha mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Awali, mradi huo ulipangwa kujengwa kwenye Bandari ya Tanga nchini Tanzania, kabla ya kampuni hiyo kubadilisha mwelekeo na kuhamishia nia yake nchini Kenya.

Makamu wa Rais wa Dangote anayeshughulikia Kitengo cha Mafuta na Gesi, Devakumar Edwin, altangaza mpango huo wakati wa ziara ya ujumbe kutoka shirika la taifa la mafuta la Jamhuri ya Congo, waliotembelea mtambo wa Dangote uliopo Lekki, Lagos.

Edwin alibainisha kuwa kiwanda cha sasa cha Nigeria kitakuwa na uwezo wa kuchakata pipa milioni 1.4 kwa siku, huku mtambo mpya uliopangwa kujengwa nchini Kenya ukiongeza pipa nyingine 700,000.

"Uwekezaji huu utafanya uwezo wa jumla wa usafishaji mafuta wa kampuni ya Dangote kufikia pipa milioni 2.1 kwa siku," alisema Edwin

===================

Dangote Industries Limited (DIL) plans to develop a 700,000-barrel-per-day oil refinery in Kenya as part of its wider expansion across Africa’s energy sector.

The proposed facility will supply refined fuel to Kenya and other East African markets, supporting efforts to strengthen regional energy security and reduce dependence on imported petroleum products.

Devakumar Edwin, Group Vice President for Oil and Gas at Dangote Industries, announced the planned capacity during a visit by a delegation from the Republic of the Congo’s national oil company to the Dangote Petroleum Refinery in Lagos on 1 July.

Edwin said Dangote’s Nigerian refining operations would process 1.4 million barrels per day, while the planned Kenyan facility would add a further 700,000 barrels per day.

Together, the developments would increase the group’s combined refining capacity to 2.1 million barrels per day.

The project follows earlier comments by Aliko Dangote, President of Dangote Group, confirming plans to develop a new oil refinery in East Africa. The facility was initially proposed for the Port of Tanga in Tanzania, before the company shifted its attention to Kenya.a

Source: Oil and Gas, Business Insider, Channels TV
Safiiii. TUNACHO OMBA NA KUTAKA. MKATABA UWE A WIN WIN TO BOTH SIDES. HILO TU!
 
Okay, ni vigumu kujua wenye hisa kubwa kwenye haya mafuta ya kutoka Uganda (yaani wafaransa) wao walitaka wese ghafi liende wapi! Kwa Bongo japo kweli kuikosa hii refinery inauma lakini kwa bahati nzuri zipo dalili nzuri za kupata wese letu bonde la ziwa Eyasi kule Manyara na hata Mkoani Rukwa. Nadhani sasa kwa vile hii refinery ya Dangote haipo tena humu Bongo ina maana hatutazuilika kuuza mafuta yetu ghafi popote (incase tukiyapata) ili tusiikwaze ya Mkuu Dangote basi serikali sasa ijiandae kuwa na refinery zake (Eyasi & Rukwa) hata kama ni ndogo ili kukidhi hitaji letu na kuuza kwa majirani zetu. Tukijaliwa kupata mafuta hamna haja ya kuyaingiza kwenye hii pipe ya kutoka Uganda.
Wenye mafuta wako tayari kumuuzia yeyote atakayefika bei.
 
Back
Top Bottom