Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

Kama kuna mtu amehadirika sana na hili tangazo la Ujenzi wa refinery huko Lamu in Rais Museveni. Rais mstaafu Uhuru Kenyatta alijaribu kushawisha Museveni aelekeze bomba lake Lamu, lakini alikataa kata kata ikichangiwa na pressure ya mwenda zake Rais Magufuli. Mafuta ya Uganda sasa itakuwa na bei ya juu kwa sababu lazima mafuta isafirishwe tena toka Tanga hadi Lamu.....ambao inaweza pitia bomba lingine mpya kutoka Tanga hadi Lamu ama kwa meli
Hakuna faida kwa mafuta ya Uganda kuzunguka Tanzania bara kwa mviringo na mwishowe tamati iwe Lamu
 
Wenye mafuta wako tayari kumuuzia yeyote atakayefika bei.
Total Energies wanamiliki refineries Ulaya ambazo shughuli yao kubwa ni kuagiza wese ghafi kwa bei ya chini, safisha, kisha uzia Afrika nk kwa bei juu. Ngoja tuone kama watauza wese lao kwa bei chini kwa Dangote
 
Dangote hategemei wese ghafi kutoka kwa Total Energies ya Uganda, Rifenery yake yenyewe iliyoko Nigeria haitegemei mafuta ya Nigeria tu pamoja na kuwa ndiye mzalishaji mkubwa wa crude oil Africa. Mafuta ya Uganda ya mapipa laki mbili kwa siku hayatatosheleza mahitaji ya Rifenery ya Dangote ya mapipa laki saba kwa siku. Pia Rifenery ya Dangote itadumu zaidi ya miaka 50 wakati mafuta ya Uganda yataisha ndani ya miaka 20.
 
Kama kuna mtu amehadirika sana na hili tangazo la Ujenzi wa refinery huko Lamu in Rais Museveni. Rais mstaafu Uhuru Kenyatta alijaribu kushawisha Museveni aelekeze bomba lake Lamu, lakini alikataa kata kata ikichangiwa na pressure ya mwenda zake Rais Magufuli. Mafuta ya Uganda sasa itakuwa na bei ya juu kwa sababu lazima mafuta isafirishwe tena toka Tanga hadi Lamu.....ambao inaweza pitia bomba lingine mpya kutoka Tanga hadi Lamu ama kwa meli
Hakuna faida kwa mafuta ya Uganda kuzunguka Tanzania bara kwa mviringo na mwishowe tamati iwe Lamu
Uzalishaji wa Mafuta ya Uganda itakuwa mapipa laki mbili tu kwa siku wakati mahitaji Rifenery ya Dangote ni mapipa laki saba kwa siku.
 
Serikali ya CCM ni wajinga sana.Walitakiwa kuwahi pale kahama kuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta..Wao wakaona pesa za ujenzi ndio zinafaa
Dangote ameingia mikataba mimgi na total energies ya ufaransa kumbuka french na washirika wake adui wao mkubwa ni Russia ambako Samia ameenda kuungana nae.

Dangote hawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo ni adui na westerners
Bahati mbaya viongozi wetu hawana akili ya kuona mbali
 
Dangote hategemei wese ghafi kutoka kwa Total Energies ya Uganda, Rifenery yake yenyewe iliyoko Nigeria haitegemei mafuta ya Nigeria tu pamoja na kuwa ndiye mzalishaji mkubwa wa crude oil Africa. Mafuta ya Uganda ya mapipa laki mbili kwa siku hayatatosheleza mahitaji ya Rifenery ya Dangote ya mapipa laki saba kwa siku. Pia Rifenery ya Dangote itadumu zaidi ya miaka 50 wakati mafuta ya Uganda yataisha ndani ya miaka 20.
Exactly. Sasa Somalia, Djibout, Ethiopia kila mmoja ana mipango ya kujenga refinery yake. Hii ligi ya refineries itakuwa kubwa. Uganda wanajenga yao wakiilenga Rwanda na DRC. Biashara itakuwa ngumu
 
Sio ushabiki.Wewe ndio unaushabiki.Nakupa history juzi tu hapa au umesahau maana hata taree 29 October yaliyotokea unaweza kuwa umesahau.

Ilikuja kampuni ya Volkswagen kuomba hapa kuweka kiwanda cha kuunga magari .mawaziri na idara zilitaka rushwa kikapelekwa rwanda.

Nikupe lengine au unataka kuendelea kubisha
Volkswagen tofauti na kiwanda cha kusafisha mafuta. Aliyeniambia kuhusu habari ya wawekezaji wenye kufanana na Dangote ni mmoja wa wasaidizi wa karibu wa Rais SSH.
 
Labda nipongeze mamlaka,na nitoe hongera kubwa sana,sisi tumekataa lakini wakenya wakakubali kuiuza ardhi yao na uwekezaji milele at a little percentage of gain..
Tanzania inakataa kila aina ya ubeberu mambo leo na ubwanyenye!
*Mamlaka zilipomwambia katika ardhi ya Tanzania kutakuwa na terms za miaka kadhaa kwa kuhodhi ardhi hiyo alikataa kabisa,willing to Own forever!...
*Who is bright?
:::::Ona kivumbi na moto hiki.
-----
-----
::::#ARDHI IMEKWENDA NA MAJI..
::::::::
𝐋𝐄𝐆𝐀𝐋 𝐂𝐇𝐀𝐋𝐋𝐄𝐍𝐆𝐄 𝐋𝐎𝐎𝐌𝐒 | ⚖

BREAKING: Constitutional lawyer 𝗟𝗲𝘃𝗶 𝗠𝘂𝗻𝘆𝗲𝗿𝗶 has given Government a 7-day ultimatum: "Pause and do public participation with Lamu residents" or face a High Court petition.

This comes just 1 day after Dangote confirmed Lamu as the site for the 700,000-barrel-per-day refinery.

Gov't: "It will add a trillion shillings to the economy."

Munyeri: "Follow the Constitution first."

Many Kenyans argue the economic benefits are too big to delay

Where do you stand?

#Kenya #OilRefinery #Dangote #Ruto
 
Labda nipongeze mamlaka,na nitoe hongera kubwa sana,sisi tumekataa lakini wakenya wakakubali kuiuza ardhi yao na uwekezaji milele at a little percentage of gain..
Tanzania inakataa kila aina ya ubeberu mambo leo na ubwanyenye!
*Mamlaka zilipomwambia katika ardhi ya Tanzania kutakuwa na terms za miaka kadhaa kwa kuhodhi ardhi hiyo alikataa kabisa,willing to Own forever!...
*Who is bright?
Acha uongo ww nzi wa kijani, mbona kwenye bandari hamkuweka wazi Huo mkataba
 
Back
Top Bottom