Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Kenya nao walikuwa na maandafujo leo ;Hadi Lissu aachiliwe. Nani atawekeza sehemu panafuka moshi?
Refinery inajengwa huko;
Tanzania ni stable zaidi ya Kenya Kiusalama.
Hoja yako haina mashiko.
Kenya nao walikuwa na maandafujo leo ;Hadi Lissu aachiliwe. Nani atawekeza sehemu panafuka moshi?
Mbona hili lilikuwa wazi kabisa; kiasi kwamba hadi Kenya wakawaleta watu wao kufuatilia hatua zilizokuwa zikifanyika, kana kwamba nao ni wahusika? Hukumbuki walivyozuiwa kutembelea Tanga kuona hali ya eneo la bandari wakijiunga na msafara wa waganda bila kualikwa?kwanza binafsi naamini kabisa hata hili bomba la mafuta ktk ug mpaka tanga, kama hii regime ya leo ndiyo ingehusika kwenye negotiation za mwanzoni siajabu hata tungelikosa na lingekwenda mombasa
Kenya Haina damu?Nimefurahishwa sana na tamko la Mzee Dangote la kuamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta nchi Kenya na sio kwenye nchi iliyojaa wauaji.
Hipo wote hongereni sana kwa kuijenga nchi
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
Kenya Haina damu?
Na mapicha picha mengi Dangote kashtuka. Damu kamwe haitamuacha mtu salama.Kwahiyo pamoja na kumkaribisha ikulu last month na kupiga naye mapicha mengi tumeula wa chuya?
Tena anaenda ikulu kavaa informal ila juzi niliona akiongea na Ruto akiwa more formal sana amevaa business suit na kiatu chake cha heshima wakati hapa ikulu kwetu alikuja na kanzu na raba sijui alikuwa anamaanisha niniKwahiyo pamoja na kumkaribisha ikulu last month na kupiga naye mapicha mengi tumeula wa chuya?
Inayo.Kenya Haina damu?
nonsense 🐒Nimefurahishwa sana na tamko la Mzee Dangote la kuamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta nchi Kenya na sio kwenye nchi iliyojaa wauaji.
Hipo wote hongereni sana kwa kuijenga nchi
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
Kaenda kwenye nchi ambayo hata mkuu wa majeshi anaweza kuuwawa.Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku
Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya
Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko Dangote, aliyethibitisha mpango wa kujenga kiwanda cha mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Awali, mradi huo ulipangwa kujengwa kwenye Bandari ya Tanga nchini Tanzania, kabla ya kampuni hiyo kubadilisha mwelekeo na kuhamishia nia yake nchini Kenya.
Makamu wa Rais wa Dangote anayeshughulikia Kitengo cha Mafuta na Gesi, Devakumar Edwin, altangaza mpango huo wakati wa ziara ya ujumbe kutoka shirika la taifa la mafuta la Jamhuri ya Congo, waliotembelea mtambo wa Dangote uliopo Lekki, Lagos.
Edwin alibainisha kuwa kiwanda cha sasa cha Nigeria kitakuwa na uwezo wa kuchakata pipa milioni 1.4 kwa siku, huku mtambo mpya uliopangwa kujengwa nchini Kenya ukiongeza pipa nyingine 700,000.
"Uwekezaji huu utafanya uwezo wa jumla wa usafishaji mafuta wa kampuni ya Dangote kufikia pipa milioni 2.1 kwa siku," alisema Edwin
===================
Dangote Industries Limited (DIL) plans to develop a 700,000-barrel-per-day oil refinery in Kenya as part of its wider expansion across Africa’s energy sector.
The proposed facility will supply refined fuel to Kenya and other East African markets, supporting efforts to strengthen regional energy security and reduce dependence on imported petroleum products.
Devakumar Edwin, Group Vice President for Oil and Gas at Dangote Industries, announced the planned capacity during a visit by a delegation from the Republic of the Congo’s national oil company to the Dangote Petroleum Refinery in Lagos on 1 July.
Edwin said Dangote’s Nigerian refining operations would process 1.4 million barrels per day, while the planned Kenyan facility would add a further 700,000 barrels per day.
Together, the developments would increase the group’s combined refining capacity to 2.1 million barrels per day.
The project follows earlier comments by Aliko Dangote, President of Dangote Group, confirming plans to develop a new oil refinery in East Africa. The facility was initially proposed for the Port of Tanga in Tanzania, before the company shifted its attention to Kenya.a
Source: Oil and Gas, Business Insider, Channels TV
Sio mdomo wa mama, ni sababu ya wachuuzi na walanguzi mapapa wa mafuta, waliopiga fitna ili waendelee kupiga hela.Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku
Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya
Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko Dangote, aliyethibitisha mpango wa kujenga kiwanda cha mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Awali, mradi huo ulipangwa kujengwa kwenye Bandari ya Tanga nchini Tanzania, kabla ya kampuni hiyo kubadilisha mwelekeo na kuhamishia nia yake nchini Kenya.
Makamu wa Rais wa Dangote anayeshughulikia Kitengo cha Mafuta na Gesi, Devakumar Edwin, altangaza mpango huo wakati wa ziara ya ujumbe kutoka shirika la taifa la mafuta la Jamhuri ya Congo, waliotembelea mtambo wa Dangote uliopo Lekki, Lagos.
Edwin alibainisha kuwa kiwanda cha sasa cha Nigeria kitakuwa na uwezo wa kuchakata pipa milioni 1.4 kwa siku, huku mtambo mpya uliopangwa kujengwa nchini Kenya ukiongeza pipa nyingine 700,000.
"Uwekezaji huu utafanya uwezo wa jumla wa usafishaji mafuta wa kampuni ya Dangote kufikia pipa milioni 2.1 kwa siku," alisema Edwin
===================
Dangote Industries Limited (DIL) plans to develop a 700,000-barrel-per-day oil refinery in Kenya as part of its wider expansion across Africa’s energy sector.
The proposed facility will supply refined fuel to Kenya and other East African markets, supporting efforts to strengthen regional energy security and reduce dependence on imported petroleum products.
Devakumar Edwin, Group Vice President for Oil and Gas at Dangote Industries, announced the planned capacity during a visit by a delegation from the Republic of the Congo’s national oil company to the Dangote Petroleum Refinery in Lagos on 1 July.
Edwin said Dangote’s Nigerian refining operations would process 1.4 million barrels per day, while the planned Kenyan facility would add a further 700,000 barrels per day.
Together, the developments would increase the group’s combined refining capacity to 2.1 million barrels per day.
The project follows earlier comments by Aliko Dangote, President of Dangote Group, confirming plans to develop a new oil refinery in East Africa. The facility was initially proposed for the Port of Tanga in Tanzania, before the company shifted its attention to Kenya.a
Source: Oil and Gas, Business Insider, Channels TV
Huvi mbona kama CHADEMA ishakata tamaa ya kuingia madarakani!Nimefurahishwa sana na tamko la Mzee Dangote la kuamua kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta nchi Kenya na sio kwenye nchi iliyojaa wauaji.
Hipo wote hongereni sana kwa kuijenga nchi
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
Mbona mmefurahia tulivyokosaHuyu mzenji katukosesha tanganyika ya viwanda
Ile ilikuwa ni PR stuntKwahiyo pamoja na kumkaribisha ikulu last month na kupiga naye mapicha mengi tumeula wa chuya?