Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

Fikiri kabla ya kujibu.

Hapo palikuwa na startegic ya usambazaji mafuta sehemu nzuri kama rwanda,burundi,congo,kenya na nchi za kusini kwa kwa kutumia magari ambayo mafuta teyari ya mesafishwa.

Na asilimia nyengine inaweza kwenda hapo tanga. kwa ajili ya nchi za mbali.

Kwa hiyo we poyoyo kinyeo unakubali mafuta kwa kusubiri yamepita wewe unakuja kushtuka yamefika tanga ,wakenya wakaona fursa wakaona wasafishe hapo kwao.
Ulikuwa wapi we kinyeo
Hakuna kilichoharibika kwa Dangote kwenda Kenya, kuna makampuni ya Kifaransa na Kibelgiji yapo tayari kuja kufanya shughuli hiyo hiyo inayokwenda kufanywa na Dangote.

Wapiga kelele wengi wanasambaza taarifa kwa mlengo wa kisiasa zaidi.
 
Hivi mnajipaga moyo.Tanzania kuna sera mbovu ambazo muwekezaji mwenye akili awezi kuja hapa.Mtaishia wawekezaji wa kichina wenye maduka kariakoo
 
Hivi mnajipaga moyo.Tanzania kuna sera mbovu ambazo muwekezaji mwenye akili awezi kuja hapa.Mtaishia wawekezaji wa kichina wenye maduka kariakoo
Ukiongea kishabiki unaweza kueleweka ukiongea katika uhalisia kauli yako ni sehemu ya kelele za mitandaoni.

Tanzania inao wigo mpana sana wa kuchagua nani aje awekeze kwenye sekta hiyo na makampuni yapo tayari.
 
Nchi ambayo watu wanatekwa na kuuawa hovyo, hakuna mwekezaji makini anaweza kwenda kuwekeza katika nchi hiyo. Inajulikana kuwa binadamu hapendi kuonewa, hivyo hao wanaoonewa, kuna siku wataamka, na hujui watafanya nini! Kwa nini ukiweke kitegauchumi chako kwenye mazingira hatarishi?
Kenya, kutokana na kuimarisha mfumo wao wa demokrasia na haki za binadamu, itakuwa centre ya uwekezaji kwa Afrika Mashariki. Tanzania na Uganda, yatakuwa masoko.
 
Ukiongea kishabiki unaweza kueleweka ukiongea katika uhalisia kauli yako ni sehemu ya kelele za mitandaoni.

Tanzania inao wigo mpana sana wa kuchagua nani aje awekeze kwenye sekta hiyo na makampuni yapo tayari.
Sio ushabiki.Wewe ndio unaushabiki.Nakupa history juzi tu hapa au umesahau maana hata taree 29 October yaliyotokea unaweza kuwa umesahau.

Ilikuja kampuni ya Volkswagen kuomba hapa kuweka kiwanda cha kuunga magari .mawaziri na idara zilitaka rushwa kikapelekwa rwanda.

Nikupe lengine au unataka kuendelea kubisha
 
Mbona hili lilikuwa wazi kabisa; kiasi kwamba hadi Kenya wakawaleta watu wao kufuatilia hatua zilizokuwa zikifanyika, kana kwamba nao ni wahusika? Hukumbuki walivyozuiwa kutembelea Tanga kuona hali ya eneo la bandari wakijiunga na msafara wa waganda bila kualikwa?

Hatua hiyo ilikuwa ni ngumu sana kwa Tanzania kuliondoa bomba Mombasa kulileta Tanga.

Kiufupi ni kwamba, Samia Suluhu Hassan haguswi kabisa na chochote juu ya maslahi ya Tanganyika. Hana kabisa chochote ndani ya dhamira yake kinachomsukuma kufanya jambo la kunufaisha wananchi wa taifa hili.

Yupo madarakani kwa sababu yeye na kundi lake wananufaika.
Siyo kiongozi wa kupigania maslahi ya nchi.
Umeongea facts sana mzee
 
FB_IMG_1783502662684.jpg
 
Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.

1. Utekaji.
2. Mauaji ya watu (October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyombo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za Uongo kwa Akina Lissu, Mbowe, Heche, Bony, Malisa nknkza Uongo.
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
Wizi nk.
 
Kila la kheri kwake kama mfanyabiashara, Tanzania bado tunaweza kuanzisha kwa ushirikiano na china bila waswasi kabisa,uwezo tunao,nguvu tunazo,mikono tunayo!,
Energy nzuri ya kusafishia mafuta ambayo ni gas tunayo what next? Ni maamuzi tu....
Uwezo munao wew na nani?,kwa seriksri ipiii?
 
Hakuna kilichoharibika kwa Dangote kwenda Kenya, kuna makampuni ya Kifaransa na Kibelgiji yapo tayari kuja kufanya shughuli hiyo hiyo inayokwenda kufanywa na Dangote.

Wapiga kelele wengi wanasambaza taarifa kwa mlengo wa kisiasa zaidi.
Nan kakwambia wako tayali kuja,wake tuwaone
 
Sababu ni Zile Zile Tu.
Kenge hadi Umpasue Masikio ndio akusikie.

1. Utekaji.
2. Mauaji ya kutisha na Mauaji ya Maelfu ya watu ( October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyombo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za uongo akina Lissu, Mbowe, Bony, Malisa CHADEMA NK
7. Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
 
Democracy vs Dictatorship, Demokrasia huibuka mshindi wakati.

Dr Ruto kashatuvyo 2 bila, si Tz tu bali Ug pia.

Kwa huu ushindi, Uganda kashapigwa 8 bila. Hapa itamlazimu auze mafuta yake kwa bei ya chini zaidi au kuyasafirisha mara mbili hadi mara tatu-Uganda hadi Tanga, Tanga hadi Mombasa au Ulaya.

Kingine Mganda anaenda kutegemea bandari ya Mombasa kwa ajili ya mafuta safi pamoja na bidhaa zingine toka ng'ambo na hapa ndipo kibao kitapogeuka na kusomeka Tz 0 Ke 12.
 
Kampuni ya Dangote (Dangote Industries Limited) imetangaza mpango wa kujenga mtambo mkubwa wa kusafisha mafuta nchini Kenya utakaokuwa na uwezo wa kuchakata pipa 700,000 kwa siku

Mabadiliko ya kutoka Tanga kwenda Kenya​

Mradi huu unakuja kufuatia taarifa za awali za Rais wa Kampuni hiyo, Aliko Dangote, aliyethibitisha mpango wa kujenga kiwanda cha mafuta katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Awali, mradi huo ulipangwa kujengwa kwenye Bandari ya Tanga nchini Tanzania, kabla ya kampuni hiyo kubadilisha mwelekeo na kuhamishia nia yake nchini Kenya.
Dangote hakupanga kujenga refinery Tanga bali rais wa kenya alipendekeza hivyo
Makamu wa Rais wa Dangote anayeshughulikia Kitengo cha Mafuta na Gesi, Devakumar Edwin, altangaza mpango huo wakati wa ziara ya ujumbe kutoka shirika la taifa la mafuta la Jamhuri ya Congo, waliotembelea mtambo wa Dangote ulio

Source: Oil and Gas, Business Insider, Channels TV
 
Back
Top Bottom