Walisha focus sana kwny Cost Tatizo tumeingiza Mambo ya Ujamaa kwa kuwachagulia wapi wakanunue Nishati!Uwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
Uwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
Hivi mnaamini kabisa Dangote Group walishindwa kufanya kitu ambacho hata nyie, ambao huenda hata duka la pipi hamna, bado mnakifahamu!!!!Kama habari hii ni ya ukweli, basi mtu aliyefanya visibility study ya kujenga kiwanda hiki alikosea
Suala la nishati/ energy supply kwa ajili ya kuendesha kiwanda lilitakiwa liwe ni kigezo muhimu sana cha akufanya maamuzi. Natural resources endowment ( raw materials) siyo kigezo pekee cha kujenga kiwanda eneo fulani. Kuna mambo megine kama legal framework, market accessibility, availability of affordable energy sources, etc.
Kumbe uko kwenye Management ya DangoteHivi huwa mnapata faida gani mnapoleta uongo wa aina hii
Unajificha kwenye neno tetesi ili kueneza uongo.
Unafaa kupigwa ban ya mwaka kwa sababu unafanya hisa za dangote zishuke kwenye soko la hisa kwa sababu ya kueneza uongo.
Ninavyofahamu mimi ni kuwa ili kupunguza gharama za uendeshaji, serikali imekipa kiwanda hicho eneo la kuchimba makaa ya mawe ili wachimbe wenyewe.Ingawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.
Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow
Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya
Vp mkuu mbona povu namna hii wakati hata yeye kaileta kama tetesi?Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta uongo wa aina hii
Unajificha kwenye neno tetesi ili kueneza uongo.
Unafaa kupigwa ban ya mwaka kwa sababu unafanya hisa za dangote zishuke kwenye soko la hisa kwa sababu ya kueneza uongo.
Walishindwa kujua kwamba 2015 kutakuwa na uchaguzi mkuu ambao utabadilisha Viongozi wa Juu wa nchi?Hivi kwa akili yako unaamini kabisa Dangote Group walishindwa kufanya kitu ambacho hata wewe ambae huenda hata duka la pipi hauna, bado unakifahamu!!!!
Hivi hii ni failure to forecast au emerged versatile business environment?!
Dangote from day one walishaona suala la high energy cost. Katika kuwavutia, Rais wa nchi, JK akawa-promise watakuwa supplied with gas watakayotumia kuzalisha umeme!!!
Sasa ni mwekezaji gani ambae ange-doubt ahadi ya rais wa nchi!!!
Jambo ambalo walisahau ni kwamba business environment kwa Africa can change at any time "t" provided kuna new leadership!
Well said broMakaa ya mawe ya Tanzania hayana ubora, ni sawa na mkaa wenye chenga nyingi,hauna faida
Umepaniki bro.Afunge Kiwanda cha zaidi ya 300 Million US Dollars, hiyo gharama atamrudishia Babako?
Kwahiyo unaonea ufahari kuwa na uongozi usiotabirika kwenye masuala ya uwekezaji, au?!Walishindwa kujua kwamba 2015 kutakuwa na uchaguzi mkuu ambao utabadilisha Viongozi wa Juu wa nchi?
Ivi kwani jamaa huko alikowekeza kungine na kwenyewe anataka kufunga? Jiulize kwanza hilo swali halafu utapata majibu, tz sasa kuna mazingira mabovu ya uwekezaji overUwekezaji mkubwa lakini walishindwa kuforecast running costs na kinachotokea ni kutafuta public sympathy ili wapewe favor
Ingawa haijawekwa rasmi au wazi, nimepenyezewa habari kutoka ndani ya kiwanda Jana jioni, kwamba, muwekezaji na tajiri namba moja Barani Afrika, Ndg. Aliko Dangote anaelekea kusimamisha kazi zake Tanzania au kulifunga kabisa kwanda cha sementi kilichojengwa mkoani Mtwara. Haya ni baada ya gharama ZA uendeshaji kuwa kubwa sana, na pia baada ya serikali kusitisha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka nje, kwa madai kwamba kuna makaa ya mawe ya kutosha nchini.
Gharama ZA nishati zimekuwa kubwa mno. Kwa sasa kiwanda hicho kinatumia genereta na makaa kidogo ya mawe yaliyoagizwa kutoka nje ambayo nayo yanaelekea kuisha. Ahadi ZA mtukufu rais hazitekelezeki leo, huku TRA ikiwa imewakaba koo watendaji wa kiwanda hicho. They need money my friend, we are running lossess , we cant continue operating. We must close the plant. Can't transport coal from Songea, that's too far and too expensive, until they build railroad tommorrow
Watanzania tukaze kamba hali inazidi kuwa mbaya