Tetesi: Dangote kusimamisha kazi zake Tanzania

Status
Not open for further replies.

Cement tunanunua 12,000/-
 
SIAMINI KAMA NCHI INAKWENDA SAWASAWA NGOJA TUSUBIRI TUONE
I GUESS MIAKA MITANO ITAPITA BILA KUONA CHOCHOTE CHA MAANA.
 
Mbona jamani haya ni hatari.
Dangote kufungua kiwanda kusini ni fursa nzuri kuendeleza kusini

Chonde chonde Serikali ikae naye apate unafuu.
Kwanza yuko mbali na soko. Anapata gharama kubwa kusambaza cement. hii iwe compasated na gasi iliyo karibu naye

Wampe unafuu asifunge kiwanda mi naweza kuwa mpatanishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu amazing Magufuli anataka kutufanyia ila kelele za kushangilia zitakapotulia ndio tutaelewa.

Yaani kizungu tuseme, anatu 'backdate '
Hayo ni matamanio yako ambayo kamwe hayatotokea, wewe huna tofauti na fisi anayesubiri mkono wa binadam udondoke wakati akiwa anatembea ili auokote!!
ngonjera zimeanza!!! kama ni kweli hali ni tete sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebi jiulize kwanza kabla ya kushadidia ujinga,kwani makaa ya mawe yatoke SA wakati hapa yapo na hata gesi aliambiwa anunue moja kwa moja bila kupitia wakala,sielewi kwanini vijana wengi mnapenda ujinga ,sasa akifunga ndio utakuwa mwisho wa Tanzania,kwanini mnawapenda mabepari wawatishe ,maana ya nchi huru ni ipi ,viinchi corrupt ndio vinawekwa mfukoni na matajiri lakini sio kwa Tanzania ya awamu hii .
 
Hivi inainga akilini kwamba kuagiza mkaa toka Songea ni mbali na ni gharama, kuliko kuagiza nje ya nchi. Mtuma post umeleta siasa pasipo kuangalia uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu amazing Magufuli anataka kutufanyia ila kelele za kushangilia zitakapotulia ndio tutaelewa.

Yaani kizungu tuseme, anatu 'backdate '
Magufuli sio boya kama mnavyodhania na uvuvuzela wenu. Mna acha kutulia tujenge nchi nyie mnaishia kulalamika tu! Shauri zenu hamtafika popote hata kama mnamwombea mabaya ili muje mumcheke baadaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huwa mnapata faida gani mnapoleta uongo wa aina hii

Unajificha kwenye neno tetesi ili kueneza uongo.

Unafaa kupigwa ban ya mwaka kwa sababu unafanya hisa za dangote zishuke kwenye soko la hisa kwa sababu ya kueneza uongo.
Sasa hutaki? na hisa za Dangote mnanunua nyie maccm?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…