Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

Mambo mawili kwenye uzi huu:
  1. Kutoa taarifa ya kuwepo kwa danguro ni kama kutangaza tu hiyo biashara
  2. Njia pekee ya uhakika ya kuua biashara ya madanguro ni kuacha kununua. Kama hamtaki madanguro msinunue makahaba, wakiona haina soko wataacha tu
Kwahiyo badala ya kukemea muuzaji, hebu pambaneni na wanunuzi. Fanyeni yatakayowasababisha wasihitaji wala wasiitake hiyo huduma. Wakiacha kununua na biashara itafia hapo, wauzaji watabuni biashara nyingine. Changamoto hata kwa wasomi na watafiti iwe kujibu swali hili: kwanini watu wananunua ngono? Majibu yatakayopatikana yasaidie kutatua hizo changamoto za wanunuzi ili waache kununua.
 
polisi wafanye nini.Jamii ifunze maadili.

kama watu wa kuwanunua hawatoenda,hakuna mtu atakaa hapo kuuza nyapu.Kwahiyo wanaume wasinunue maku.

Hata ukienda kuwafurusha hapo watarudi tena,demand ni kubwa tatizo halipo kwao tu.

hiyo ni biashara kongwe toka enzi za manabii mpaka sasa!
 
Mbezi imechangamka sana kwenye ufuska toka tunapata viajira 2013.
Maana mabinti wengi wa Singidani na Kilimanjaro ndiko wanakofikia kwa ndugu zao
 
Mhhh piga ua garagaza kimboka buguruni chaaa hatari sana watu uchi saa mojaa asee🥸 pale Kuna matusi balaa sio ya nchi hii na usiende kama una roho
 
Four Two reporting...... Informant spotted....do you copy?
Suspect appears to deliver dangerous information for the wrong reasons. Over.
 
Yani hapo ndio umetangaza Biashara kaka, umewafumgulia njia.

Du!!!!
Tuwape watoto wetu Elimu.
Unazaa mtoto unashindwa kumlea anakuwa kahaba jamani Dahhhh inauma sana
 
Yani hapo ndio umetangaza Biashara kaka, umewafumgulia njia.

Du!!!!
Tuwape watoto wetu Elimu.
Unazaa mtoto unashindwa kumlea anakuwa kahaba jamani Dahhhh inauma sana
Kajala, Wema Sepetu, Irene Uwoya, Vicky Kamata, nk...orodha ni ndefu wanajua kusoma na kuandika tu?
 
mkuu, tafuta pesa, jenga nyumba. kupewa notisi kufukuzwa na mwenye nyumba naona umekuja mojakwamoja. hata hivyo, sitetei ukahaba.
 
Hayo maeneo kuna ka mwinuko kupanda juu kuelekea Mbezi sokoni ukikata mkono wa kulia hiyo njia ukinyoosha nayo kuna saloon,mafundi viatu vya kimasai.....aisee!!!
Nilipita hiyo mitaa mida ya saa kumi na mbili jioni kulikuwa na kabaridi baridi nikakuta mstari mrefu wa makahaba wanauza tukutuku sura zimepauka sana kwa umaruhuni.... Basi kimoja kikaniambia mambo nikajibu kimyaa nikapita zangu chap....hiyo mitaa ni shida biashara ni asubuhi.
Sasa hivi hadi hapo Mbezi standi ya mkoa wanajiuza makahaba wengi tu tena hadhaarani huku wafanyabiashara wakiendelea na shughuli zao wengi ni wateja wa madereva daladala na makonda.....Dar ndio Mji wenye laana zote Tanzania si mahali salama kwa malezi ya watoto hasa maeneo ya uswazi.
 
Wewe utakuwa ni mpangaji ambaye ulikuwa unatembelea kitonga cha kuishi sehemi ambapo huna uwezo wa kulipa kodi.
 
Kuna watu ushawapa chimbo jipya...
 
Hilo ni tatizo la KIROHO sio la kimwili!polisi hawatoweza hilo!

Operation ya kiroho inahitajika kuokoa Roho zao!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Ni tangazo tosha kwa wateja ambao sio na family man, kwa sie mafamilyman halituhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…