mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Ooh hiyo bar nishaijua nilishawahi kupita huko miezi kadhaa nyuma sema sikujua jina lake tu ni sehemu pamechangamka sana opposite kuna lodge zinaangaliana na hiyo bar then kwa nje ya bar niliona wadada wamekaa wanapiga stori,kumbe walikuwa kwenye mawindo hapo mimi sikuelewa.Mbezi mwisho njia panda ya goba, ulizia kwa god