Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

Wewe ndo marketing manager wa Hilo danguro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wenye familia hili ni janga, Kuna siku nilikutana na muhanga kutoka Sinza aliekuwa analea familia yake katika maeneo ya madangurokipande Cha Sinza Tena yeye Hilo eneo lilikuwa na Hadi mashoga though alifanikiwa kujenga na kuondoka huko ila ukipata full story ya hayo mazingira ni mbaya sana.
 
Acheni kuwanunua, wachukueni mkae nao ndani muendeshe maisha
Waoeni kabisaaa
Mkuu malaya ni kunguru asiye fugika.

Hata ungelikuwa na ukwasi wa kiasi gani, hauwezi kumkidhi malaya, malaya ni bahari lisilotosheka kupokea chochote usiku na mchana bila kujaa milele.

Ndiyo maana, ukimpenda ukakomaza fuvu kumuoa, labda Mungu akuue mapema ndiyo utaepuka kujuta.

Vinginevyo ni ubatili na kusaga meno tu mbele ya safari ya maisha yako.
 
Wewe jamaa uko nyuma ya wakati sana sana... Ukiyaona ya mitandaoni ndiyo utastaajabu mara 1000.

 
Hapana,sijawahi rukwa na haitokuja tokea kurukwa.Dhambi nilizonazo zinanitosha
Well that's beautiful.
Sababu nilitaka kukuuliza kama unakubaliana na kila mtu kufanya atakavyo then ungekubali kuona watu wakisex hadharani.

Lucky you.
 
Na hawa huwa wanalipa kwa wakati kuliko hata waajiriwa.
Huwa wanalipa kabla kabisa ya kodi kuisha au wanalipia miezi mingi zaidi ili wasipewe notisi. Kuna jamaa yangu anakaa nyumba aliyokuwa anakaa Asha nani sijui yule aliyetafutwa na polisi miezi kama miwili iliyopita, yule mwenye tattoo ya ua mgongoni. Asha na wenzake walikuwa wanalipa kodi mapema kiasi kwamba mwenye nyumba mzee Msabato alipojua wanatafutwa na polisi kwa kesi hiyo akawa hana hela ya kuwarudishia awahamishe. Mzee alisaidiwa na mtu mwingine kuwarudishia hela
 
Ndo umeamua kutangaza biashara yako boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…