mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Ooh hiyo bar nishaijua nilishawahi kupita huko miezi kadhaa nyuma sema sikujua jina lake tu ni sehemu pamechangamka sana opposite kuna lodge zinaangaliana na hiyo bar then kwa nje ya bar niliona wadada wamekaa wanapiga stori,kumbe walikuwa kwenye mawindo hapo mimi sikuelewa.Mbezi mwisho njia panda ya goba, ulizia kwa god
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unaa tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Chakushangaza huu uzi ndio umewqsanua watu kuwa Kuna chimbo
NOTE: hii inamadhara makubwa sana kwa jamii
Wewe ni kiwembe eenhh?Weuwee!!, tag location! tag locatiooon!!
Ana promote hana lolote, watu kibao waliokuwa hawapajui wamepajua na biashara itashamiri kuliko zamani.Mleta mada utapata faida gani hili chimbo likipigwa stop?
Unapigwa miti wewe?
Wacha wateja tuendelee kujisevia, hawa watu ni muhimu sana yaani nikiwa na buku 5 kwa hapo mbezi nachakata mbususu tena yenye viwango saaafi
Hapa mjini kila mtu anamishe zake, wacha kupangia watu nini wafanye
Sasa yataniumiza vipi wakati hayo ni maneno tu.... Nilitaka nimalizie kama ya kwenye kanga nikajua utachukia kwamba nadharau maandiko.
Tutajuaje kwamba hili andiko lina pumzi ya Mungu, na kwamba sio maneno tu ya Paulo kwenda kwa Timoteo?
2 Timotheo 3:16-17
Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.
Aisee nitapitia hapo kesho nione kama kuna mambo au maneno tu
Tutajuaje kwamba hili andiko lina pumzi ya Mungu, na kwamba sio maneno tu ya Paulo kwenda kwa Timoteo?
Swali langu ni hivi, tutajuaje kwamba haya ni maneno ya Mungu, na wala siyo ya Mathayo tu ametoka zake kuvua samaki akaamua kujiandikia tu?Mathayo 12:36-37
Basi, nawaambia, Kila neno lisilo maana, watakalolinena wanadamu, watatoa hesabu ya neno hilo siku ya hukumu. Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.
Swali langu ni hivi, tutajuaje kwamba haya ni maneno ya Mungu, na wala siyo ya Mathayo tu ametoka zake kuvua samaki akaamua kujiandikia tu?
You are beating around the bush and am afraid we gonna waste a lot of time, let me try again;KUJUA HILI NI NENO LA MUNGU INATOKANA NA IMANI YAKO. VINGINEVYO UWE TAYARI KUFUNDISHWA NA WENYE IMANI ZAO
MITHALI 30: 5-6
5 Kila neno la Mungu limehakikishwa; Yeye ni ngao yao wamwaminio.
6 Usiongeze neno katika maneno yake; Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo.
KUMBUKUMBU 12: 32
32 Neno niwaagizalo lo lote liangalieni kulifanya; usiliongeze, wala usilipunguze.
You are beating around the bush and am afraid we gonna waste a lot of time, let me try again;
Ndio maana ninauliza, ili nifundishwe na nyie wenye imani zenu, unajuaje ni maneno ya Mungu na si utunzi wa watu tu?