mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 992
- 2,266
Uoe kahaba?. Si kupeleka matatizo nyumbani hukoAcheni kuwanunua, wachukueni mkae nao ndani muendeshe maisha
Waoeni kabisaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uoe kahaba?. Si kupeleka matatizo nyumbani hukoAcheni kuwanunua, wachukueni mkae nao ndani muendeshe maisha
Waoeni kabisaaa
Wame target wasafiri wanaoshuka na kuondoka pale Magufuli Bus Terminal ?Wakuu
Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro
Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni kero kubwa kwa wakazi wa maeneo husika hasa katika makuzi na malezi ya watoto kwani madanguro hayo yanapatikana katika makazi ya watu
Kwa sasa kuna DANGURO kuuubwa limetengezwa maeneo ya Mbezi Mwisho, wananchi na wapangaji wa eneo lile walipewa notsi kuachia vyumba vyao kupisha biashara ya ukahaba
Kwa sasa danguro limekuwa kubwa mno, baa ya lubumbashi na Kwa GOD zimekuwa chachu ya ukahaba huu
Imagine lile eneo lote kati ya kwa god na lubumbashi, zile nyumba za kati zote ni madanguro
Eneo lile saa 1 jioni tu makahaba yamejaa wala hayaogopi kitu
Serkali na jeshi la polisi tunaomba danguro hili lisambaratishwe
Hatari sanaaKwaiyo Kwa mwez ana 3ml inabidi zifungiwe mashine za EFD ili serikali ipate mapato
😆😆😆😆! Dah.Huwa wanalipa kabla kabisa ya kodi kuisha au wanalipia miezi mingi zaidi ili wasipewe notisi. Kuna jamaa yangu anakaa nyumba aliyokuwa anakaa Asha nani sijui yule aliyetafutwa na polisi miezi kama miwili iliyopita, yule mwenye tattoo ya ua mgongoni. Asha na wenzake walikuwa wanalipa kodi mapema kiasi kwamba mwenye nyumba mzee Msabato alipojua wanatafutwa na polisi kwa kesi hiyo akawa hana hela ya kuwarudishia awahamishe. Mzee alisaidiwa na mtu mwingine kuwarudishia hela
Nahisi hili limechangia kasi ya biashara hiiWame target wasafiri wanaoshuka na kuondoka pale Magufuli Bus Terminal ?
Uoe kahaba?. Si kupeleka matatizo nyumbani huko
Wew kweli Dikteta usiye na maono.Mimi maoni yangu serikali ingeweza ndoa za muda mfupi kama siku 3 au week, mwezi, mwaka ili kupunguza wimbi kubwa la madanguro lakini hivi hivi ni ngumu na kwa sasa jiji la Dar es salaam kote pamechafuka akuna jipya naamini ndoa hizo zitapunguza ukahaba na ukienda guest bila cheti cha ndoa upesi room
Hivi we mwanamke umetumwa au? Yani we ni kushusha maandiko tu!UFUNUO 2: 19-23
19 Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.
20 Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
21 Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.
22 Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;
23 nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake
Kiingereza najua chote sio neno moja moja. Typing errorUnajua maana ya "infect" wewe?
Hivi we mwanamke umetumwa au? Yani we ni kushusha maandiko tu!
Sasa yataniumiza vipi wakati hayo ni maneno tu.... Nilitaka nimalizie kama ya kwenye kanga nikajua utachukia kwamba nadharau maandiko.Kwani maandiko yanakuumiza Mjuni Lwambo?
Pole mwaya😂😂😂
Umalaya ni biashara kama zingine huwezi kuikwepa tunajidanganya kupambana nayo ukweli inawasaidia watu wengi TU iwekewe mazingira mazuri Ili pande zote zifaidike ulaya ni biashara halali na Kodi wanalipaHalafu mleta uzi anaomba serikali iingilie kati..aje asome hii comment ndio ajue serikali yenyewe ina mlengo gani kuhusu hao malaya.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app