Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh...!, hii ndio naisikia leo!。Pascal Mayalla U FM ya Bakhressa huwa inajiunga na DW Kiswahili saa saba mchana, sasa siku mbili DW wakizungumzia utekaji wa Nondo na wengine hukata matangazo hayo na kucheza muziki wa hovyo hovyo mpaka habari hiyo ipite.
Hata wakisoma magazeti habari za utekaji hawasomi hii Afadhali hata kwenye Uhuru media kwa uchawa.
mara nyingi vichwa vikubwa huwa vinajaa majiKila media inayo editorial policy yake na editorial independence yake ambayo haipaswi kuingiliwa!
Kuna habari inaweza kuwa ni kubwa kwako kustahili front page, lakini kwa mwingine isiwe habari kabisa!. Huu ndio Uhuru wa habari.
Mkuu Gulwa , ushahidi huu hauukidhi viwango vya ushahidi.
P
Kwenu machawa sawa ila kwetu wenye elimu yetu ya kipekee, simanishi ya darasani, tunaona tofauti. Kazi ya media yoyote ni kutumikia na kuhabarisha jamii husika. Huwezi, kwa mfano, kutangaza habari za vichekesho kwenye kijiji kinachoomboleza. Waandishi wa habari wa kitanzania mna uelewa mdogo sana na nina mashaka na ubora wa vyuo vyenu kitaaluma, kwani kinazalisha wasomi wajingaKila media inayo editorial policy yake na editorial independence yake ambayo haipaswi kuingiliwa!
Kuna habari inaweza kuwa ni kubwa kwako kustahili front page, lakini kwa mwingine isiwe habari kabisa!. Huu ndio Uhuru wa habari.
Mkuu Gulwa , ushahidi huu hauukidhi viwango vya ushahidi.
P
Naomba kuheshimu mtazamo wako。Kwenu machawa sawa ila kwetu wenye elimu yetu ya kipekee, simanishi ya darasani, tunaona tofauti. Kazi ya media yoyote ni kutumikia na kuhabarisha jamii husika. Huwezi, kwa mfano, kutangaza habari za vichekesho kwenye kijiji kinachoomboleza. Waandishi wa habari wa kitanzania mna uelewa mdogo sana na nina mashaka na ubora wa vyuo vyenu kitaaluma, kwani kinazalisha wasomi wajinga
Asantemara nyingi vichwa vikubwa huwa vinajaa maji
Ahahah,na nyinyi akitekwa muandishi msimtteeTangu atekwe Nondo wa ACT Wazalendo, hakuna gazeti lolote la serikali, chama dola au vigazeti vinavyofadhiliwa na serikali lililoandika kuhusu habari hiyo. Kwa vyovyote vile ile ni habari kubwa iliyostahili kuwekwa kwenye kurasa za mbele za magazeti. Hata habari za utekaji mwingine uliofanyika huko nyuma haikupewa kabisa nafasi katika magazeti na media zote cha serikali, chama dola na vibaraka wao. Kwa wale wenye uwezo wa kusoma nyakati, Chronos, Kairos na Eschaton, hatuhitaji ushahidi zaidi ya huo wa wazi
Umepigaje hapo?mara nyingi vichwa vikubwa huwa vinajaa maji
Anzisha gazeti lenu muandikeHakuna gazeti hata moja lenye mrengo wa serikali au chama cha Mapinduzi iliyoandika habari za Abdul Nondo, hata gazeti la Global Publishers ambao ni vibaraka wa CCM hawajaandika. Kweli huu ni u-bias wa aina yake.
Hawa wahuni dawa yao inachemka,kwanza mpaka sasa wamefanya vyombo vyetu vya ulinzi chukiwa na wananchi, alafu wepesi mno that's ukimbilia mfunga mtu pingu ,kama wapo fit why wamtekapo mtu wasifike mahala mwachia ili zichapwe ?Tangu atekwe Nondo wa ACT Wazalendo, hakuna gazeti lolote la serikali, chama dola au vigazeti vinavyofadhiliwa na serikali lililoandika kuhusu habari hiyo. Kwa vyovyote vile ile ni habari kubwa iliyostahili kuwekwa kwenye kurasa za mbele za magazeti. Hata habari za utekaji mwingine uliofanyika huko nyuma haikupewa kabisa nafasi katika magazeti na media zote cha serikali, chama dola na vibaraka wao. Kwa wale wenye uwezo wa kusoma nyakati, Chronos, Kairos na Eschaton, hatuhitaji ushahidi zaidi ya huo wa wazi
Pasikali mambo mengine ujue unaongea na watu wa uelewa gani? Usishangae ukaambiwa unashabikia utekaji.Kila media inayo editorial policy yake na editorial independence yake ambayo haipaswi kuingiliwa!
Kuna habari inaweza kuwa ni kubwa kwako kustahili front page, lakini kwa mwingine isiwe habari kabisa!. Huu ndio Uhuru wa habari.
Mkuu Gulwa , ushahidi huu hauukidhi viwango vya ushahidi.
P
Kaka Paskali,Kila media inayo editorial policy yake na editorial independence yake ambayo haipaswi kuingiliwa!
Kuna habari inaweza kuwa ni kubwa kwako kustahili front page, lakini kwa mwingine isiwe habari kabisa!. Huu ndio Uhuru wa habari.
Mkuu Gulwa , ushahidi huu hauukidhi viwango vya ushahidi.
P
Lazima ujifanye hujawahi kusikia, ila unajua na wewe ni mmoja wao.Duh...!, hii ndio naisikia leo!。
P
Duh。。。!,kauli huumba!,please usiniumbie kuwa mmoja wao!Lazima ujifanye hujawahi kusikia, ila unajua na wewe ni mmoja wao.
Mkuu Ngali, Ngalikihinja, kwanza nikupe pole for missing my point, asante kwa msamiati mpya wa kuchochora.Kaka Paskali,
Huku uswahili tunasema, HAPA UMECHOCHORA..!! I did not expect this from you...!!!
Asante kuuliza, nitajibu maswali yako yote.Naomba unijibu maswali haya ambayo nitauliza kwa kurudia ulichosema kama ifuatavyo;
Yes hivi ndivyo ilivyo1. Umesema, kila media inayo editorial policy yake na editorial independence yake ambayo haipaswi kuingiliwa!
Kila media imeandika editorial policy yake na kila mwandishi wa media hiyo anapaswa kujua, ila sio document ya nje, ni internal policy.Sawa, lakini kuiambia media fulani kwa nini haikuandika kuhusu utekwaji huu ndo kuingilia hizo policy na independence? Wazitaje basi hizo policy zinazofanya wasiiandike habari hii..!!
Mbona iliandikwa sana, ila sio lazima kila media kuandika, media nyingine, kwake sio habari kubwa kivile!.Tuna akina Azory, Ben Saanane na wengine, hadi leo hatujui waliko, hakuifanya habari hii kuwa ya kuandikwa?
Hapana, watu kupotea ni ordinary news, ila watu kupotezwa is big news ila sio kwa media zoteAchia mbali kuandikwa front page with bolded herufi, ingeandikwa hata katikati ya gazeti. Au mpaka atekwe anayekuhusu habari hii ndo itakuwa kubwa??
AU mpaka CLOUDS wavamiwe, au mpaka gazeti la Mwananchi wavamiwe ndo mtaona habari ni kubwa?? UMENISIKITISHA
P2. Umesema, kuna habari inaweza kuwa ni kubwa kwako kustahili front page, lakini kwa mwingine isiwe habari kabisa!. Huu ndio Uhuru wa habari.
Kaka P, hapa ndo umenisikitisha sana, na hasa ukizingatia wewe ni mwanahabari mbobevu..!! Mtoa mada, kataja matukio kadhaa ambayo hayo magazeti yanayoambiwa hajaandika popote ndani ya magazeti hayo.
- Hivi kwa hali ya utekaji ya sasa, unadhani hii si habari kubwa???
- Hivi unadhani habari kuwa kubwa ni kwa sababu ya maamuzi ya mtu fulani kuiona kuwa kubwa au habari yenyewe..!!???
- Hivi, kwenye huo uanahabari wako, HOW DO YOU DECIDE kwamba habari hii ni kubwa au ndogo?
Vile vile, habari kuwa kubwa kwa huyu lakini ndogo kwa mwingine, hilo si kigezo. habari zote zipo hivyo, inategemeana tu na interest ya mtu unayempelekea habari au impact ya habari hiyo kwa jamii au habari hiyo ina public inetrest kwa kiasi gani. Mfano, kuna wale wa 51mba na Yanga, ukianza kuwaambia habari za vitasa, wengine hawakuelewi. Kuna watu unavyoviandika wewe kwao havina maana, etc. Hivyo kuamua habari kama ni kubwa ua la, likiachwa kwa mtu binafsi badala ya impact ya habari husika kwa jamii, HAKUTAKUWA NA HABARI KUBWA WALA NDOGO.
CC Kadhi Mkuu 1
Kauli huumba, natamka uwe kama Assange.Duh。。。!,kauli huumba!,please usiniumbie kuwa mmoja wao!
P
Hazipaswi kuingiliwa na nani?Kila media inayo editorial policy yake na editorial independence yake ambayo haipaswi kuingiliwa!
Kuna habari inaweza kuwa ni kubwa kwako kustahili front page, lakini kwa mwingine isiwe habari kabisa!. Huu ndio Uhuru wa habari.
Mkuu Gulwa , ushahidi huu hauukidhi viwango vya ushahidi.
P