Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Atakuwa anapelekwa Burundi kwa nguvu.Tuliambiwa tuhame tukaleta ubishi.Tutahamishwa mmoja baada ya mwingine.Tutarudishwa wakati wa kuhesabu kura na kusaini matokeo tu.Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
Duh CCM wanatakaje? Siku akipatikana IGP mwenye akili ndio itakua mwisho wa CCMMwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
Na Mkashindwa kuwazuia hapo kituoni mpo wengiMwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
Jibu ni hapana kwa maswali yote.Lsbda,kwenye udaku,udakuzi na ajali ndiyo tutakuletea fotografia zote bila chenga muhishimiwa mbonge!🙏1. Milishindwa kupiga picha wahusika?
2. Mlishindwa kupiga picha gari lao?
3. Hakuna alie weza hata kuchukua video ya tukio?
4. Walikua na silaha za moto?
5. Walikua wangapi?
6. Mlishindwa kuwahoji?
7. Mlishimdwa kuwazuwia wasimchukue?
Duh CCM wanatakaje? Siku akipatikana IGP mwenye akili ndio itakua mwisho wa CCM
Ingekuwa Nchi zenye msimamo, huu Uhuni usingeruhusiwaHuko kumteka kwenda kumtesa....kumtisha misimamo yake au ndio kumuua kabisa....huko sio kukamata kawaida......
Sasa kama anaetakiwa kuwakumbusha hizo taratibu zao nankuwachukulia hatua ndo huyo huyo anaewatuma hapo unategemea niniHivi utaratibu wa kumkamata mtuhumiwa si uko wazi Kwa mujibu wa Sheria?
Huyo Nondo ni Katibu wa Chama, ina maana ana address yake kwamba anaishi wapi
Mnafika Kwa mjumbe wa nyumba 10 kwenye Mtaa anaoishi kisha mnaenda kumchukua.
Hiyo kumvizia stendi na kumkamata kama jambazi inazua taharuki kwamba huenda ni Wasiojulikana
Hebu Viongozi wa hayo makundi sijui ni Usalama ama Polisi Idara ya Usalama, warudie kusoma miongozo ya kazi zao.
Najua mnatekeleza majukumu yenu, lakini fuateni Sheria na taratibu za kazi zenu
Unasikitika? Hizo kebehi za mara tulikubaliana kufa ni zinatoka wapi kama sio unashangilia? Unaweza shangilia ya nondo na ukashangaa sana, achana na mpingo ya Mungu mkuu.Kwahiyo kukubaliana kufa ni kushangilia kutekwa?
Hakuna accountability kabisa kwenye hii NchiSasa kama anaetakiwa kuwakumbusha hizo taratibu zao nankuwachukulia hatua ndo huyo huyo anaewatuma hapo unategemea nini
Tunamaliza uchaguzi haya yanatokea, mbona tunaenda kubaya
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
Mimi nafiri government ingetoa tamko kua km mazingira yanautata na kunawatu wanaweza zuia wafanye kinachowezekana,wananchi wanahofia kufanya maamuzi kwakua hawana backup ila km kuna utata wananchi wanaruhusiwa kuingilia kati,sehemu km stand ya mbezi wapo watu wengi wanaoweza zuia but wanahofia usalama wao pia
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu