Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nani anasema pingu imeangushwa kwa Bahati, Anyooshe mikono. Mzazi ataenda kama mtangulizi alivyo pigishwa shoti.😌
 
Wale watu waliokuwa wanawacheka watu kwa kutotoa .
msaada ya kwa Big Tarimo, walikuwa zaidi ya 100 hapo kituoni na hawajafanya chochote.
Mungu amlinde kijana.
 
Back
Top Bottom