Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tanzania bado ni nchi ya kimasikini kuanzia akili , kipato na maarifa

Kiongozi Mkubwa Kama huyo anakamatwaje kizembe namna hiyo.

Anashindwa kutembea na ulinzi mkubwa wa silaha .

Anapandaji mabasi ya Abiria

Anakamatwaje bila hata kuwapiga Picha wahusika.

MTU Kama Abdul Nondo ambaye huwa anatambulika hadi Kwa vyama washirika huko ulaya Leo hii anakamatwa style hii


Ni vizuri Kama Chama Kama Wananchi na Taifa tukapaza sauti zetu kuyapinga haya mambo ambayo hayana utu wala hekima.


Rais -unauwezo wa Kutoa kauli maana hawa watu wanaofanya huu mchezo hawatoki uraiani.

Yupo wapi Thadeo ole Mushi ambaye kaondolewa kimagumashi.
Umeenda mbali.Kiiza Besigye anakusabahi.
 

Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.

Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
 

Attachments

  • IMG-20241128-WA0001.jpg
    IMG-20241128-WA0001.jpg
    168.5 KB · Views: 3
Hivi hawa wasiojulikana huwa wanatumwa na nani, au wanaowatuma nao hawajulikani, kwani pingu wamiliki wake ni nani, au pingu yeyote anaweza kuzimiliki?
Pingu kama ilivyo silaha au uniform za polisi, inaweza kuangukia kwenye mikono ya mtu yoyote mwenye nia mbaya. Hivyo mtu kuwa na pingu siyo kigezo cha kuwa polisi. Ila ukweli bado uko pale pale. Wanaoteka watu ni vyombo vya usalama.
 
Back
Top Bottom