Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. Milishindwa kupiga picha wahusika?
2. Mlishindwa kupiga picha gari lao?
3. Hakuna alie weza hata kuchukua video ya tukio?
4. Walikua na silaha za moto?
5. Walikua wangapi?
6. Mlishindwa kuwahoji?
7. Mlishimdwa kuwazuwia wasimchukue?
Kuna mambo unajiuliza unakosa jibu inatia hasira mno mno
 
Ni wahalifu wasiofuata hizo taratibu
Hivi ikitokea wanafanyiwa Jambo kama lile la enzi za boss wa Mabasi ya Zakaria watasema Wananchi wana shida?

Me nilidhani wangeweza kumwita kwenye kituo chochote cha Polisi, ikitokea amegoma ndiyo waende wamkamate

Lakini Kwa kufuata Sheria
 
Picha gani mkuu wakati wahusika ni dola? Kusoma hatujui, hata picha tunashindwa kuelewa? Yaani kweli unategemea uchunguzi kwenye suala kama hili? Usiniambie kwamba hata yale mauaji ya bwana Kibao bado unasubiri uchunguzi.
Hata kutambua kuwa ni dola tayari ni picha.

ACT walijiona kula ma ccm wako salama lkn sasa tutaongea lugha moja
 
Back
Top Bottom