MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Ungekuwepo hapo ungefanya nini!? Tupe mbinu.Simba mmoja anavamia kundi kuuuuubwa la nyumbu takribani nyumbu 600 anajichagulia mmoja wengine 559 wanasimama pembeni na kushuhudia mwenzao akitafunwa.