Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Namshukuru Mungu jana jioni nilikomesha jaribio la utekaji maeneo fulani jamaa walikuwa na pingu ila wamevaa kiraia wanakomaa na mchizi wampakie kwenye ndinga nikaingilia kati kujua sababu. Ilikuwa ni varangati hawakuamini. Njemba nyingine zinajipitia tu hazijali wala nini wanaona mchizi anapiga makelele anakomaa na jamaa zaidi ya watatu wamuingize kwenye Noah. Mwisho tuliwazidi wakasepa zao.

Aisee hawa jamaa nilikuwa sijawahi kuona live. Wanakuja sehemu ulipo wanakuchukua mzobe mzobe hata hawaogopi raia. Raia nao hawana habari yoyote. Tubadilike siku hizi hawaji hata na uniform wala hawahitaji maelezo. Wanakuburuza wakikuzidi wanakutupa kwenye gari kama mzoga haoooo.. Jana tuliwashinda na mapingu yao yakabaki mkononi mwa jamaa maana walifanikiwa kufunga mkono mmoja.
Ukishaona story na wewe unatunga ya kwako bongo nyoso sana kukazia story inayotrend huu upuuzi sijui mnapata faida gani
 
Huyu Mama Hafai kabisa kuongoza nchi, haya makundi ya Task force kwenye awamu yake yanafanya ukatili mkubwa sana dhidi ya wakosoaji wake.
 
Ningeomba pia JamiiForums kama imeweza kumhoji Katibu Mkuu wa Chadema wajaribu pia kupata maelezo kutoka kwa wadondosha pingu...
 
Namshukuru Mungu jana jioni nilikomesha jaribio la utekaji maeneo fulani jamaa walikuwa na pingu ila wamevaa kiraia wanakomaa na mchizi wampakie kwenye ndinga nikaingilia kati kujua sababu. Ilikuwa ni varangati hawakuamini. Njemba nyingine zinajipitia tu hazijali wala nini wanaona mchizi anapiga makelele anakomaa na jamaa zaidi ya watatu wamuingize kwenye Noah. Mwisho tuliwazidi wakasepa zao.

Aisee hawa jamaa nilikuwa sijawahi kuona live. Wanakuja sehemu ulipo wanakuchukua mzobe mzobe hata hawaogopi raia. Raia nao hawana habari yoyote. Tubadilike siku hizi hawaji hata na uniform wala hawahitaji maelezo. Wanakuburuza wakikuzidi wanakutupa kwenye gari kama mzoga haoooo.. Jana tuliwashinda na mapingu yao yakabaki mkononi mwa jamaa maana walifanikiwa kufunga mkono mmoja.

duh, utakuwa ni martyr wewe labda, what if they shot you dead? unajitolea kuingilia ugomvi usiokuhusu tena against “wasiojulikana” na haujui hata wanataka nini? yaani uko tayari kufa au kuumizwa kwa ajili ya mtu hata usiyemjua? labda huyo uliyejitolea kumtetea alikuwa criminal aliyekuwa anatafutwa mda mrefu, who knows?
 
Sasa kama ukifika Stendi unakuta " Wajomba" wanakusubiri na Wahudumu wa Bus hawatoi Msaada wowote ya Nini kuendelea kupanda hizo mbaula?

Binafsi niliziamini sana Scandinavian Buses enzi zile ikitokea purukushani inapigwa radio call faster

Dominica njema 😃
 
1. Milishindwa kupiga picha wahusika?
2. Mlishindwa kupiga picha gari lao?
3. Hakuna alie weza hata kuchukua video ya tukio?
4. Walikua na silaha za moto?
5. Walikua wangapi?
6. Mlishindwa kuwahoji?
7. Mlishimdwa kuwazuwia wasimchukue?
Watanzania wako chap kupiga picha kwenye matukio yasiyo na tija lakini kwenye matukio muhimu kama hayo wala......
Sijui wanaogopa bunduki...,.
 
1. Milishindwa kupiga picha wahusika?
2. Mlishindwa kupiga picha gari lao?
3. Hakuna alie weza hata kuchukua video ya tukio?
4. Walikua na silaha za moto?
5. Walikua wangapi?
6. Mlishindwa kuwahoji?
7. Mlishimdwa kuwazuwia wasimchukue?
Tena stendi? Hii nchi wananchi wamerogwa
 
Hata vidéo au picha walishindwa kuchukua?Halafu kosa kubwa sana kukabidhi hiyo simu polisi.Hiyo simu ilitakiwa ifichwe kama lulu na ikabidhiwe kwa watu wenye nia njema ili ichungunzwe na private detectors na kuanika wazi info za mmoja wa watekaji.

Please Mchengerwa mrudishe mtoto wa watu.Waambie hao uliowatuma wasimuue mtoto wa watu.Though ninavyokujua na huyu utamuua kama ulivyowaua kina Soka
Screenshot_20241201_102511_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom