Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
This is to much, hata kipindi cha jiwe haikuwa hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kinachofuataaaa.....Kiutwni utani hivi hivi unaweza kukuta Nondo ndiyo anapotea mazima kama Ben Sa8 au inapatikana maiti yake tu kama mzee Ali Kibao.
Huwezi kumtisha kwa mawe adui ALIYE SHIKA BUNDUKI.
QUOTED FROM FID Q
Won't happenDuh CCM wanatakaje? Siku akipatikana IGP mwenye akili ndio itakua mwisho wa CCM
Wangeua wangapi Wananchi hawakuamua tu kuwaletea vagiHuwezi kumtisha kwa mawe adui ALIYE SHIKA BUNDUKI.
QUOTED FROM FID Q
Ukishaona story na wewe unatunga ya kwako bongo nyoso sana kukazia story inayotrend huu upuuzi sijui mnapata faida ganiNamshukuru Mungu jana jioni nilikomesha jaribio la utekaji maeneo fulani jamaa walikuwa na pingu ila wamevaa kiraia wanakomaa na mchizi wampakie kwenye ndinga nikaingilia kati kujua sababu. Ilikuwa ni varangati hawakuamini. Njemba nyingine zinajipitia tu hazijali wala nini wanaona mchizi anapiga makelele anakomaa na jamaa zaidi ya watatu wamuingize kwenye Noah. Mwisho tuliwazidi wakasepa zao.
Aisee hawa jamaa nilikuwa sijawahi kuona live. Wanakuja sehemu ulipo wanakuchukua mzobe mzobe hata hawaogopi raia. Raia nao hawana habari yoyote. Tubadilike siku hizi hawaji hata na uniform wala hawahitaji maelezo. Wanakuburuza wakikuzidi wanakutupa kwenye gari kama mzoga haoooo.. Jana tuliwashinda na mapingu yao yakabaki mkononi mwa jamaa maana walifanikiwa kufunga mkono mmoja.
Deusdeus Soka hakurudi huyu ndio basi tena watapigapiga kelele weee basi tena dogo harudi tenaR.I.P Abdul nondo
Harudi huyoHuko kumteka kwenda kumtesa....kumtisha misimamo yake au ndio kumuua kabisa....huko sio kukamata kawaida......
ZZK ni wao....huyu atarudiiii.....ingawa watamnyooshaaaHarudi huyo
Namshukuru Mungu jana jioni nilikomesha jaribio la utekaji maeneo fulani jamaa walikuwa na pingu ila wamevaa kiraia wanakomaa na mchizi wampakie kwenye ndinga nikaingilia kati kujua sababu. Ilikuwa ni varangati hawakuamini. Njemba nyingine zinajipitia tu hazijali wala nini wanaona mchizi anapiga makelele anakomaa na jamaa zaidi ya watatu wamuingize kwenye Noah. Mwisho tuliwazidi wakasepa zao.
Aisee hawa jamaa nilikuwa sijawahi kuona live. Wanakuja sehemu ulipo wanakuchukua mzobe mzobe hata hawaogopi raia. Raia nao hawana habari yoyote. Tubadilike siku hizi hawaji hata na uniform wala hawahitaji maelezo. Wanakuburuza wakikuzidi wanakutupa kwenye gari kama mzoga haoooo.. Jana tuliwashinda na mapingu yao yakabaki mkononi mwa jamaa maana walifanikiwa kufunga mkono mmoja.
Watanzania wako chap kupiga picha kwenye matukio yasiyo na tija lakini kwenye matukio muhimu kama hayo wala......1. Milishindwa kupiga picha wahusika?
2. Mlishindwa kupiga picha gari lao?
3. Hakuna alie weza hata kuchukua video ya tukio?
4. Walikua na silaha za moto?
5. Walikua wangapi?
6. Mlishindwa kuwahoji?
7. Mlishimdwa kuwazuwia wasimchukue?
Tena stendi? Hii nchi wananchi wamerogwa1. Milishindwa kupiga picha wahusika?
2. Mlishindwa kupiga picha gari lao?
3. Hakuna alie weza hata kuchukua video ya tukio?
4. Walikua na silaha za moto?
5. Walikua wangapi?
6. Mlishindwa kuwahoji?
7. Mlishimdwa kuwazuwia wasimchukue?