loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Ccm na act ni mtu na mwanawe lakini,so hapo kuna kamchezo kanachezwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimaanisha kufia kwenye "space" sio nje ya "space".Si tulikubaliana tuko tayari kufa kwenye space ya Maria sarungi?
Ungelikuwepo ungelihoji? Au unakuwa mtemi kwasababu haukuwepo? Ahahahahaha!!!mlishindwa kuhoji?
Kwahiyo nikija na mguu wa kuku utaliwa kiboga kisa bastola tena umati mkubwa Stendi.....Huwezi kumtisha kwa mawe adui ALIYE SHIKA BUNDUKI.
QUOTED FROM FID Q
Bwashee Pingu ni Silaha Adui akiiwahi anakufunga wewe na kuondoka na bunduki/bastola YakoHii kazi mpya walioianza bado hawana ujuzi nalo.Baadaye hawatadondosha😁
Duh。。。!。Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Kama mmekabizi pingu na simu kwa police Sina Cha kuwasaidia hiyo pingu ingewafukuzisha kazi Wengi na simu tungeitumia kufuatilia waarifu hapo MMEFANYA USHENZI FUTENI LIUZI LENU
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.
Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu
====
UPDATE
JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT Wazalendo Shangwe Ayo ambapo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akieleza Nondo alikuwa ametokea Kigoma baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kumalizika, ambapo wakati anashuka kwenye basi Stendi ya Magufuli watu wasiyojulikana watatu walimfuata kukawa na purukushani Nondo akijitahidi kujinasua lakini walifanikiwa kumchukua na kuangusha pingu walizokuwa wameenda nazo pamoja na begi alilokuwanalo Nondo
Matukio mengine ya utekaji kuwahi kufanyika nchini haya hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo
Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.
Dar es salaam na Wanaume wao mdebwedo mdebwedo wapuz tu1. Milishindwa kupiga picha wahusika?
2. Mlishindwa kupiga picha gari lao?
3. Hakuna alie weza hata kuchukua video ya tukio?
4. Walikua na silaha za moto?
5. Walikua wangapi?
6. Mlishindwa kuwahoji?
7. Mlishimdwa kuwazuwia wasimchukue?
Simba mmoja anavamia kundi kuuuuubwa la nyumbu takribani nyumbu 600 anajichagulia mmoja wengine 559 wanasimama pembeni na kushuhudia mwenzao akitafunwa.
1. Milishindwa kupiga picha wahusika?
2. Mlishindwa kupiga picha gari lao?
3. Hakuna alie weza hata kuchukua video ya tukio?
4. Walikua na silaha za moto?
5. Walikua wangapi?
6. Mlishindwa kuwahoji?
7. Mlishimdwa kuwazuwia wasimchukue
Si askari wote wana nidhamu , smart ni wachache sana wengine ni kutumia nguvu, matokeo ndio haya yanayo onekanaNawaza tu askari anawezaje kusahau Pingu
Kwa Sababu huwa anaifungua wakati mtuhumiwa ameshanyoosha Mikono baada ya kutaitiwa
Sisi wengine ni akina Tomaso 😂